Habari kama hizi hupendwa na serikali yetu; Machinga, bodaboda Ilala wamfagilia Rais Magufuli

Watu wamezuia barabara zote zimezibwa kariakoo hakuendeki serekali inakosa mapato kibao Wanakuja na kusifia ili waendelee kuleta usumbufu!??!?
 
Back
Top Bottom