Habari kama hizi hupendwa na serikali yetu; Machinga, bodaboda Ilala wamfagilia Rais Magufuli

radika

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
16,569
Likes
23,839
Points
280
Age
36
radika

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
16,569 23,839 280KUNDI la wafanyabiashara ndogo maarufu machinga na lile la waendesha pikipiki maarufu bodaboda katika wilaya ya Ilala, wamemuomba Rais John Magufuli kutosikiliza kelele za wanaopinga jitihada zake, kwani hawana uzalendo kwa taifa lao.
Makundi hayo yalitoa ujumbe huo jana katika risala iliyosomwa na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wafanyabiashara ndogo, Namoto Namoto mbele ya mgeni rasmi, Waziri wa Madini, Angella Kairuki walipokusanyika kumpongeza Rais Magufuli katika jitihada zake mbalimbali alizozifanya tangu aingie madarakani miaka miwili iliyopita.

“Tunamuomba Rais asisikilize kelele za watu wanaombeza kwani wengi wao hawana uchungu na uzalendo kwa taifa lao, sisi wananchi wanyonge daima tuko pamoja naye bega kwa bega,” alisema. Walisema Rais Magufuli ni mzalendo namba moja katika kupigania maslahi ya wanyonge na taifa kwa ujumla.

“Sisi wananchi wanyonge tumeamua kupaza sauti kama ishara ya kuunga mkono jitihada zote ulizozifanya katika nchi yetu katika sekta mbalimbali,” alisema. Alitaja baadhi ya jitihada zilizofanywa na Rais kuwa ni pamoja na kubaini madudu yaliyokuwa yakitendeka katika sakata la makinikia na pia Kampuni ya uchimbaji ya Barrick Gold Mining kukukubali kuilipa serikali ya Tanzania Sh bilioni 700 kwa udanganyifu walioufanya kwenye mchanga wa madini.

Chanzo habari leo.
 
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
13,708
Likes
4,136
Points
280
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
13,708 4,136 280
Hapo na usingizi mororo unapatika vizuri kabisa
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
17,123
Likes
10,185
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
17,123 10,185 280KUNDI la wafanyabiashara ndogo maarufu machinga na lile la waendesha pikipiki maarufu bodaboda katika wilaya ya Ilala, wamemuomba Rais John Magufuli kutosikiliza kelele za wanaopinga jitihada zake, kwani hawana uzalendo kwa taifa lao.
Makundi hayo yalitoa ujumbe huo jana katika risala iliyosomwa na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wafanyabiashara ndogo, Namoto Namoto mbele ya mgeni rasmi, Waziri wa Madini, Angella Kairuki walipokusanyika kumpongeza Rais Magufuli katika jitihada zake mbalimbali alizozifanya tangu aingie madarakani miaka miwili iliyopita.

“Tunamuomba Rais asisikilize kelele za watu wanaombeza kwani wengi wao hawana uchungu na uzalendo kwa taifa lao, sisi wananchi wanyonge daima tuko pamoja naye bega kwa bega,” alisema. Walisema Rais Magufuli ni mzalendo namba moja katika kupigania maslahi ya wanyonge na taifa kwa ujumla.

“Sisi wananchi wanyonge tumeamua kupaza sauti kama ishara ya kuunga mkono jitihada zote ulizozifanya katika nchi yetu katika sekta mbalimbali,” alisema. Alitaja baadhi ya jitihada zilizofanywa na Rais kuwa ni pamoja na kubaini madudu yaliyokuwa yakitendeka katika sakata la makinikia na pia Kampuni ya uchimbaji ya Barrick Gold Mining kukukubali kuilipa serikali ya Tanzania Sh bilioni 700 kwa udanganyifu walioufanya kwenye mchanga wa madini.

Chanzo habari leo.
Sasa mbona na wewe unazidi kumfagilia JPM kwa kutuhabarisha?
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,354
Likes
17,356
Points
280
Age
18
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,354 17,356 280
Hahahaha wazee serikal siku hizi mnaaminika kwa kupika uongo

Swissme
 
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
2,793
Likes
7,450
Points
280
Age
28
F

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
2,793 7,450 280
mimi mwenyewe nampenda sana magufuli kwa kupigania wanyonge..

zamani wamachinga ambao ni wazawa wanafukuzwa na mgambo huku wageni barrick wananyenyekewa...

awamu ya magu wamachinga wanatamba.. wageni wanakomaliwa waache wizi
 
enjai ya kyasha

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
2,190
Likes
2,073
Points
280
enjai ya kyasha

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
2,190 2,073 280
Utawasikia vijiweni mwao wanalia eti hela hamna.
Pumbavu zao hao boda boda na machinga.
 
S

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
3,976
Likes
4,173
Points
280
S

singojr

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2014
3,976 4,173 280
mimi mwenyewe nampenda sana magufuli kwa kupigania wanyonge..

zamani wamachinga ambao ni wazawa wanafukuzwa na mgambo huku wageni barrick wananyenyekewa...

awamu ya magu wamachinga wanatamba.. wageni wanakomaliwa waache wizi
Wezi wamekunywa juice miezi mitatu pale ikulu wanadiscuss wakatupa kishikia uchumba. Ingekuwa ni binti yako baada ya miezi mitatu ya majadiliano mume mtarajiwa anakupa 0.015% ya mahari ungejisikiaje
 
Kaputula La Marx

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Messages
513
Likes
422
Points
80
Kaputula La Marx

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2015
513 422 80
Nao wasubirie teuzi
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,315
Likes
10,149
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,315 10,149 280
Nikiwa mkubwa, nitapenda kushangiliwa na watu wenye elimu
 
Konsciouz

Konsciouz

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2015
Messages
4,627
Likes
5,383
Points
280
Konsciouz

Konsciouz

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2015
4,627 5,383 280
Bodaboda hawawezi kua na akili nzuri, tank la mafuta lipo mbele hivyo wanayavuta kila kukicha.
Hao machinga nao ni wale wale tu mabogasi.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,778
Likes
25,189
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,778 25,189 280
Hapo hata wakisema wakapange bidhaa zao Ikulu ni rukusa.
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
8,606
Likes
15,853
Points
280
Age
25
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
8,606 15,853 280
Mbona haujatuambia mliwapa shilingi ngapi?
 
1

1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
5,472
Likes
3,141
Points
280
1

1954

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
5,472 3,141 280KUNDI la wafanyabiashara ndogo maarufu machinga na lile la waendesha pikipiki maarufu bodaboda katika wilaya ya Ilala, wamemuomba Rais John Magufuli kutosikiliza kelele za wanaopinga jitihada zake, kwani hawana uzalendo kwa taifa lao.
Makundi hayo yalitoa ujumbe huo jana katika risala iliyosomwa na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wafanyabiashara ndogo, Namoto Namoto mbele ya mgeni rasmi, Waziri wa Madini, Angella Kairuki walipokusanyika kumpongeza Rais Magufuli katika jitihada zake mbalimbali alizozifanya tangu aingie madarakani miaka miwili iliyopita.

“Tunamuomba Rais asisikilize kelele za watu wanaombeza kwani wengi wao hawana uchungu na uzalendo kwa taifa lao, sisi wananchi wanyonge daima tuko pamoja naye bega kwa bega,” alisema. Walisema Rais Magufuli ni mzalendo namba moja katika kupigania maslahi ya wanyonge na taifa kwa ujumla.

“Sisi wananchi wanyonge tumeamua kupaza sauti kama ishara ya kuunga mkono jitihada zote ulizozifanya katika nchi yetu katika sekta mbalimbali,” alisema. Alitaja baadhi ya jitihada zilizofanywa na Rais kuwa ni pamoja na kubaini madudu yaliyokuwa yakitendeka katika sakata la makinikia na pia Kampuni ya uchimbaji ya Barrick Gold Mining kukukubali kuilipa serikali ya Tanzania Sh bilioni 700 kwa udanganyifu walioufanya kwenye mchanga wa madini.

Chanzo habari leo.
Wako watakaosema hawa "hawajitambui"....hahahahahahahaha....Ili uonekane kuwa "unajitambua" eti ni lazima upinge kila kinachofanwa na serikali
 
B

bababikko

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,666
Likes
2,020
Points
280
Age
59
B

bababikko

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,666 2,020 280
Wezi wamekunywa juice miezi mitatu pale ikulu wanadiscuss wakatupa kishikia uchumba. Ingekuwa ni binti yako baada ya miezi mitatu ya majadiliano mume mtarajiwa anakupa 0.015% ya mahari ungejisikiaje
Mbona hicho mnachosema kishika uchumba bado?yaani watanzania kudanganywa kama watoto tu
 
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Messages
4,053
Likes
2,388
Points
280
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2014
4,053 2,388 280
Pata picha 2020 akisimamishwa LISSU na magufuli
 
pachachiza

pachachiza

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,429
Likes
2,022
Points
280
pachachiza

pachachiza

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,429 2,022 280
mimi mwenyewe nampenda sana magufuli kwa kupigania wanyonge..

zamani wamachinga ambao ni wazawa wanafukuzwa na mgambo huku wageni barrick wananyenyekewa...

awamu ya magu wamachinga wanatamba.. wageni wanakomaliwa waache wizi
Ujui ulisemalo!
 
Forum statistics

Threads 1,251,887
Members 481,931
Posts 29,789,267