Habari inayoendelea: Kauli ya mh. Mbunge wa makete juu ya mpango wa maendeleo ya taifa

JUST

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
552
234
Mh. BUNGE WA JIMBO LA MAKETE KATIKA KUCHANGIA HOJA JUU YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA AMENZA KUCHANGIA KWA KUONYESHA KUWA MPANGO HUU NI UFUMBUZI WA MATATIZO YA TANZANIA, LAKINI CHA KUSHANGAZA ANAZUNGUMZA MATATIZO YA NCHI ZA KIAFRIKA YA MAJI, UMEME NK. NA KUSEMA MPANGO HUU UTATATUA MATATIZO KAMA HAYO HAP NCHINI KWETU

NDUGU WANAJF NINACHOJIULIZA JE HUYU MBUNGE NI KWANINI ASINGEAINISHA MATATIZO HAYO KWA MTAZAMO WA TANZANIA ZIKIWEMO SABABU ZINAZOSABABISHA NA KUONYESHA JINSI GANI YATATATULIWA NA MPANGO HUO?

JE HUU SI USANII WA BAADHI YA WABUNGE KUJIKOMBA KWA SERIKALI KWA VINYWA NYAO HUKU WAKIJUA HAVIZUNGUMZI HOJA ZA MANUFAA?

NAWAKILISHA
 
Kama huyo mbunge ni Mwanaccm sisi lazima tukushangae wewe kwa kumshangaa huyo mbunge. Kwenye magamba lazima upate hoja za magamba.
 
nimesoma tu sina comment
 
Huu ni msiba yani bora kufa tu!!

ni kweli kabisa kama mbunge anapamabnua mabo kwa staili hii hilo si jambo la kufurai ni kulia maana tusitegemee mabadiliko kupitia wabunge wa namna hiyo.
 
Alikuwa anahalalisha "sitting allowance" (posho) yake ya leo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom