Asnte mkuu..na makadirio ya bei kwa mfano wa km hxo mit za mraba 20 na kwa kila sqm 1 ni 10000..Mita za mraba 20 ndio kiwanja kinachotosha kwa nyumba ya aina hiyo
Haiwezi kuwa kweli, standard inatakiwa anunue kiwanja chenye square metres 400 na zikipungua pia zisiwe chini ya square metres 360Mita za mraba 20 ndio kiwanja kinachotosha kwa nyumba ya aina hiyo
Kwa vyumba vinne isiwe chini ya mita za mraba 500 apo utapata na sehem ya uwanja kidogo nje na hio fensi, chini ya 500sqm utakuwa umeibana sana sana nyumba yako.Habar wana forum ..naomba kujuzwa hili sina uelewa nalo.....mita 1 ya mraba ni 10,000/ ...Je nyumba ya kawaida ya vyumba 4 na fenc inakuwa ni mita ngap za mraba na makadirio ya jumla ya bei yake hicho kiwanja ?? NAOMBA MSAADA
Chief 20sqm ni sawa sawa na mita 4 kwa mita 5.Mita za mraba 20 ndio kiwanja kinachotosha kwa nyumba ya aina hiyo
Mmh mita za mraba 20??Mita za mraba 20 ndio kiwanja kinachotosha kwa nyumba ya aina hiyo
Huyo jamaa hajui hata mita ni urefu kiasi gani.Chief 20sqm ni sawa sawa na mita 4 kwa mita 5.
Walimu walifundisha ila application ndo zeroHivi haiwezekana walimu wa watu kama kukamatwa kwa kutotimiza wajibu wao? Post na comment ni ushahidi tosha
Comment bora kabisa kwenye huu uzi! Big up Mkuu. Kuna mtu kamjibu kuwa zinahitajika mita za mraba 20 kujenga nyumba! Yaani urefu meta 5 na upana meta 4. HahahaaaaNyuzi kama hizi ndo unatambua uelewa wa wasomi wa kitanzania.
Kwakweli aibu naona mimi....vitu vya shule msingi kabisa lakini tunashindwa kuvitumia kwenye maisha ya kawaida!Comment bora kabisa kwenye huu uzi! Big up Mkuu. Kuna mtu kamjibu kuwa zinahitajika mita za mraba 20 kujenga nyumba! Yaani urefu meta 5 na upana meta 4. Hahahaaaa
Labda kama unamaanisha upana au urefu wa mita 20. Standard house inaweza kuwa na mita za mraba 196, kwamba upana wa 14 kwa urefu wa 14,kiwanja kitakiwa kuwa kikubwa zaidi ya nyumbaMita za mraba 20 ndio kiwanja kinachotosha kwa nyumba ya aina hiyo
Inatosha Choo na Bafu tuChief 20sqm ni sawa sawa na mita 4 kwa mita 5.