Habar wana forum ..naomba kujuzwa hili sina uelewa nalo.....mita 1 ya mraba ni 10,000/ ...Je nyumba ya kawaida ya vymba 4 na fenc inakuwa ni mita ngap

bin rash

Member
Mar 24, 2018
12
2
Habar wana forum ..naomba kujuzwa hili sina uelewa nalo.....mita 1 ya mraba ni 10,000/ ...Je nyumba ya kawaida ya vyumba 4 na fenc inakuwa ni mita ngap za mraba na makadirio ya jumla ya bei yake hicho kiwanja ?? NAOMBA MSAADA
 
Kwa vyumba vinne isiwe chini ya mita za mraba 500 apo utapata na sehem ya uwanja kidogo nje na hio fensi, chini ya 500sqm utakuwa umeibana sana sana nyumba yako.

Kuhusu bei, inategemea na eneo, mfano kibada mita 1 ya mraba (sqm) ni 33,000tsh. Mwongozo 21,000tsh (bei kidogo za zaman).

Ukitaka kujenga pia inategema na aina ya nyumba,
Eneo la kiwanja ilivyo (bonde au tambarale), kuna maji maji au la pamoja na material gani unataka.
 
Ha ha haaa jamani mnanivunja mbavu.
Hesabu za kutafta eneo la msatili namraba za darasa la nne ndo tunabishana humu?
Hesabu Hesabu Hesabu nakupendaa hakika x3
 
Nyuzi kama hizi ndo unatambua uelewa wa wasomi wa kitanzania.
Comment bora kabisa kwenye huu uzi! Big up Mkuu. Kuna mtu kamjibu kuwa zinahitajika mita za mraba 20 kujenga nyumba! Yaani urefu meta 5 na upana meta 4. Hahahaaaa
 
Comment bora kabisa kwenye huu uzi! Big up Mkuu. Kuna mtu kamjibu kuwa zinahitajika mita za mraba 20 kujenga nyumba! Yaani urefu meta 5 na upana meta 4. Hahahaaaa
Kwakweli aibu naona mimi....vitu vya shule msingi kabisa lakini tunashindwa kuvitumia kwenye maisha ya kawaida!
 
Mita za mraba 20 ndio kiwanja kinachotosha kwa nyumba ya aina hiyo
Labda kama unamaanisha upana au urefu wa mita 20. Standard house inaweza kuwa na mita za mraba 196, kwamba upana wa 14 kwa urefu wa 14,kiwanja kitakiwa kuwa kikubwa zaidi ya nyumba
 
Standard size ya chumba ni mita 3 kwa 3 ambayo ni sawa na 9sqm vyumba vinne ni 36sqm sebule inaweza kuwa 16sqm dining inaweza kuwa 7sqm na jiko 7sqm kwa ujumla wake inakuwa ni 36+16+14sqm jula inakuwa ni 66 sqm hapo ni built area.Kwa hio ukiwa na eneo lenye 150sqm unaweza toa kamjengo kako kadogo na kubaki na parking ya bajaj au baby walker.na sehemu ya watoto kujifunza kutembea
 
Back
Top Bottom