HAAAAAAAAAAAAAAAAAA;;;;HII YA LEO KALI;;KAULI YA jk

Status
Not open for further replies.

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
BAADA YA KUAMBIWA KUWA UGUMU WANAOKABILIANA NAO SUMATRA NI PAMOJA NA KUWA WAMILIKI WENGI WA DALADALA NI MAASKARI AMBAO WANAWAACHIA MADEREVA WAKOROFI MARA ZOTE

RAISI KIKWETE ALITOA KICHEKO CHA KITAARABU HAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA HIIi YA LEO KALIIIIII??

HUYU NI RAISI AU??
 
Baada ya kucheka...alitoa agizo/maelekezo gani? Hapo ndio tutajua ni rais AU!
 
Tunawahurumieni sana wenzetu ambao leo hii ndio kwaaanza mnaoanza kugundua hayo mambo leo wakati tayari kila kitu kimeparaganyika nchini shauri ya hayo hayo unayoyagutukia leo hii!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom