Ha, kumbe hata mawaziri wa Zanzibar wapo chini ya Waziri Mkuu majaliwa!!! Mi jamani sikujua? Nimefurahi kuja hivyo sasa!!!

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Messages
3,760
Points
2,000

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2013
3,760 2,000
Of course yeye Ni waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania... Anamawaziri wengi wanaotekeleza mambo ya Muungano hivyo kumfanya kuwa responsible pande zote za Muungano. Ila mwenyekiti wa baraza la mawaziri kule linaitwa baraza la mapinduzi Ni Dr Shein... Ila usiforce Sana kuelewa wanaouelewa huu Muungano walikufa siku nyingi... Hata wanasheria wanakubaliana kuwa Muungano huu Ni kitu kigumu sana
 
nwankoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2019
Messages
293
Points
500

nwankoe

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2019
293 500
Hilo ni "fumbo LA imani",halijadiliki.
Of course yeye Ni waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania... Anamawaziri wengi wanaotekeleza mambo ya Muungano hivyo kumfanya kuwa responsible pande zote za Muungano. Ila mwenyekiti wa baraza la mawaziri kule linaitwa baraza la mapinduzi Ni Dr Shein... Ila usiforce Sana kuelewa wanaouelewa huu Muungano walikufa siku nyingi... Hata wanasheria wanakubaliana kuwa Muungano huu Ni kitu kigumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,392,518
Members 528,633
Posts 34,110,889
Top