ha ha ha wangoni na kupenda chini.akina komba,mapunda,ngonyani mbawala.....mpo hapo?

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
watani zao wanadai eti ukimkabidhi pesa afikishe sehemu itafika kamili pasipo kuchakachuliwa lakini sio mwanamke
 
hahaa hili jamvi na wangoni halijambo! wakati wa uchumba na my wife wangu nilikuwa napata shida sana, wife wangu akiwaambia mashosti zake leo mchumba wangu anakuja basi wanakusanyika hapo kibao eti tumwone huyo mngoni! kuna mmoja hadi alifikia kusema jina lngu linafanana na la boyfriend wake so my wife eti asitishe uchumba mpaka anione kwanza kisa eti mngoni wake bd anamhitaji alipokuja kuta sie mie wake eti akaomba msamaha. wengine wakawa wanamtisha my wife eti unawajua wangoni wewe shauri yako!!! sie tunajua mambo bana
 
<br />
<br />
mwenzangu unazo hizo sifa za mngoni???
 
Wazee wa bombi hii nyumbi hii wake kwa wanaume wako fit kwenye hayo mambo!
 
nilisikia eti kwa jinsi hawa jamaa wangoni walvyo noma hata wakifa wanaume huzikwa sehemu tofauti na wanawake, wanaume huzikwa bondeni na wanawake milimani kuhofia mizimu ya wanaume isiamke na kwenda kusumbua ya wanawake kweli hawa jamaa ni noumaaa
 
Duuuuhhh!!!
hiyo kali!!
nilisikia eti kwa jinsi hawa jamaa wangoni walvyo noma hata wakifa wanaume huzikwa sehemu tofauti na wanawake, wanaume huzikwa bondeni na wanawake milimani kuhofia mizimu ya wanaume isiamke na kwenda kusumbua ya wanawake kweli hawa jamaa ni noumaaa
 
hahaa hili jamvi na wangoni halijambo! wakati wa uchumba na my wife wangu nilikuwa napata shida sana, wife wangu akiwaambia mashosti zake leo mchumba wangu anakuja basi wanakusanyika hapo kibao eti tumwone huyo mngoni! kuna mmoja hadi alifikia kusema jina lngu linafanana na la boyfriend wake so my wife eti asitishe uchumba mpaka anione kwanza kisa eti mngoni wake bd anamhitaji alipokuja kuta sie mie wake eti akaomba msamaha. wengine wakawa wanamtisha my wife eti unawajua wangoni wewe shauri yako!!! sie tunajua mambo bana

Mtani nakusoma hapa,wapi Loylal Tz Citizen?
 
nilisikia eti kwa jinsi hawa jamaa wangoni walvyo noma hata wakifa wanaume huzikwa sehemu tofauti na wanawake, wanaume huzikwa bondeni na wanawake milimani kuhofia mizimu ya wanaume isiamke na kwenda kusumbua ya wanawake kweli hawa jamaa ni noumaaa

Sawa Pukudu. Yaani sisi wangoni hata tukifa lakini ugoni uko palepale. Hii kali. Kwa kweli nimecheka saaaana. Asante sana mtani.
 
watani zao wanadai eti ukimkabidhi pesa afikishe sehemu itafika kamili pasipo kuchakachuliwa lakini sio mwanamke

kuna siredi ilipita hapa ya hao wangoni nasikia ni kweli jamaa zao ni pombe na wanawake tu.....wanasema wangoni mitalimbo yao ni mikubwa na imepinda kama banana... au matege ya mtoto mdogo..jamaa akichukua demu wako sahau..

Lakini inakuwaje majina yao ni ya wanyama .. Nyani, Mapunda, Simba, Nguruwe, Kasuku, N'gombe, Mbuzi, Njiwa, Mbawala, kuku, jogoo, nyoka..Tembo n.k
 
Back
Top Bottom