Ha! ha! ha! Hivi ndo Russia ilivyowaachia pirates | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ha! ha! ha! Hivi ndo Russia ilivyowaachia pirates

Discussion in 'International Forum' started by Nemesis, May 7, 2010.

 1. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Source: http://news.yahoo.com/s/ap/20100507/ap_on_re_eu/eu_piracy

  :becky:Jamaa wamewaacha maharamia katikati ya bahari, kwenye kaboti kadogo, bila vifaa vya baharini, warudi nyumbani bila kupotea (unforgetable way to home :confused2:). anyway inaweza kuwa dawa ya kuwamaliza.
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  road 2 death!
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,047
  Likes Received: 3,954
  Trophy Points: 280
  hao jamaa wataanza kulana baada ya muda maana kila mtu hataki kufa
   
 4. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  hahahaha.... sasa Urusi haijakiuka sheria/haki za binadamu? kama kweli wamewaachia si wangefanya hivyo mbele ya vyombo vya habari? na kama wamewaua au watashindwa njia na kulana kama unavyosema hili halitazidisha hasira za maharamia? anyway mimi sitetei maharamia, ila ninachokiona Urusi iliamua kuwamalizia baharini.
   
 5. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  yaani safi sana,maana kuwalisha na kuwapeleka jela za ulaya ndio mahitaji yao hawa wendawazimu,wao kuwa pirate ni mawili fedha au ticket ya kwenda ulaya wakikamatwa,hawa jamaa akili zao fupi sana.
   
 6. c

  charles.lwanda New Member

  #6
  May 8, 2010
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I agree with Maria Roza that should be a"Road 2 death" for pirates. I think this will be a good punishment for pirates. Let them die there because they have been killing a lot of people over there. The world should learn from the Russians!!!!!!
   
 7. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Na sio pirates tu, hata wakiwakamata stowaways huwa wanawafanyia hivyo hivyo. Kuna vijana fulani wa Tanzania walifanyiwa hivyo katika mwanzo wa miaka ya tisini na mmoja alisurvive akaja kuelezea. Bahati mmoja wa mabaharia wa Kirusi au Kigiriki (sikumbuki vizuri) ambae hakupenda alipiga picha hayo matokeo na captain na wenzake walishtakiwa.
   
 8. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  These pirates got exactly what they deserve; in fact, the punishment fit the crime. I don't have any kind of remorse for them. Many Kudos to Russians for playing hardball with these cowards.
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Naona tungetumia adhabu hii kwa wanaoua albino....tupeleke kina kirefu, then tuwaache kwenye mtumbwi na kasia mojatu!
   
 10. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2010
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Hivi hao wasomali wao walitafuta vyombo vya habari wakati wanateka hiyo meli?kama walivyoteka kimnya kimnya na warusi wameachia kimnya kimnya .
   
 11. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hawa pirates sasa hivi wamezidi na naona serikali nyingi zinachukulia kama utani,cha ajabu mbona nchi za afrika ambazo hizi meli nyingi huwa zinakwenda kwao hawajaungana kujaribu kuwamaliza hawa pirates?
   
 12. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  napenda russia na france reaction zao mara kunapotokea vitatizo kama hivi yaani jamaa huwa wanaonyesha mfano kwa wengine,sasa hivi at least pirates wata kua na doubt na michezo yao hii.
   
 13. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Bravo Russia, hawa jamaa wamezidi kusumbua watu, wanapenda short cut, then they forget shortcut==to dealth, kwani huoni wanaopenda vitu vya bure hufa haraka sana, hayo mauti yakiwapata it is a lesson to others.
   
 14. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Jamani utawala wa kisheria upo wapi sasa? mwenye kutoa adhabu si hakimu au?
  sina kusudi la kutetea maharamia ila katika kusimamia haki, ndiyo nahoji. Ni katika kuepuka double standards.
   
 15. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,024
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo ninapowakubali Warusi, hakuna huruma na watu wendawazimu. Jee mnakumbuka kisa cha Besland pale wachechin walipowateka wattoto 300? Au pale wachechin walipolivamia jengo la michezo ya kuigiza jijini Moscow?

  Hao ndio warusi wanaojua nini cha kufanya kwa watu wendawazimu.
   
 16. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  this is too unfair, walitakiwa wawakamate wawapeleke mbele ya vyombo vya dola, na sio kuuwaacha kinyama hivyo. you know, kila mwanadamu hata kama ni jambazi,katili etc, ni kiumbe wa Mungu na Mungu bado anampenda, na anastahili haki zote. siamini kwamba Russia nchi iliyokomaa ktk sheria za kimataifa ingefanya kitu kama hicho. lazima watakuwa waliwaacha na hata kadarubini kamoja ili wasijekujikuta badala ya kwenda somalia, wanaelekea china ambako watatembea kwa miaka miwili na hako kaboat. si unajua mtu akiachwa katikati ya bahari hajui wapi kusini, wapi kaskazini etc.
   
 17. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  In life everything comes with a price. If one has opted to live by a sword then he/she will die by a sword. I have zero tolerance when it comes to pirates; these people must be defeated by any means possible. Thanks Russians for sending a clear message to other pirates around the world that you can mess with Russians oil tankers at your own peril. How many sailors have been killed by these cowards? Why are people so obsessed with defending the rights of the culprits?
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sielewi watu wanashangilia nini kwene hii kadhia. Waliuawa, au watakaouawa ni waafrika wenzetu. Wakati dunia inapiga kelele kupinga extrajudicial killings and torture za wamerekani, hawa warusi bila aibu wanafanya kitu kilekile.
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  May 8, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Wapelekwe mahakamani ili iweje? Na hiyo gharama ya kesi yote ya nini? Na wao maharamia si wanajua walikotoka, Somalia? Mshahara wa dhambi ni mauti!
   
 20. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hivi sivyo tunavyotakiwa kuishi mkuu, every person on earth deserves a second chance, hata kama ni muuaji, jambazi, pirate etc, he still needs a chance to repent and come to his God, change his ways brabrabraaa. wahalifu si pirates peke yao, kama wewe ni mtakatifu uwe wa kwanza kurusha jiwe. je, haujawahi kula rushwa hapa tz? bila shaka siongei na fisadi, ila kama ni mmoja wao basi fisadis za tz ni wabaya kuliko hata pirates. those people live in a failed state and sometimes they are driven by warlords, ambao kama wakikataa kufanya hivyo wanaweza kuuawa. pia mazingira ya somalia yanawaweka watu kuwa katika roho ya aina hiyo, if they would have been given a chance to live in a peaceful country like tz, unafikiri wangeopt kufanya wayafanyayo? hata hivyo, many of you in this JF are pirates before God, kama Mungu angelihesabu maovu yetu nani angesimama? na Mungu hafurahii kifo cha mtu mwenye dhambi, hivyo si sahihi kabisa kuwaua hivyo. wenzao wa EU na NATO wamekuwa na agreement na selikali ya Kenya, so when they capture them wanawapeleka kwenye mahakama za kenya kutokana na mutual agreement za nchi walivyokubaliana. kama Mungu angekuwa anawaua enyi wanaume mnaoharibu vitoto vya secondary hata shule havimalizi, je mngesimama? kama Mungu angeamua kuharibu/kuua enyi sugermami mlio jaa dar es salaam wamama watu wazima mnawavulia watoto wadogo kama si laana hiyo ni nini? je, mngesimama mbele za Mungu kweli? si neema tu ya Mungu tunaishi wakuuu?

  hata hivyo, siiamini hii thread iliyoanzisha, kwasababu kama wangefanya hivyo, jumuiya ya kimataifa ingeshawashambulia sana Russia....
   
Loading...