Ha! ha! ha! ha!ha! ha! ha !ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

Mkaribisheni mgeni waungwana, ni style yake ya kupiga hodi.
 
Jamani! hamna huyu sio ganja, huyu ni jilani yangu tena namjua vizuri huwa ana matatizo ya akili, yakimuanza ndio hivyo
 
tena bangi yenyewe iliota sehemu kilipokuwa choo zamani.
 
sijui niliingia humu kutafuta nni.................f****k 2 d*****ks n B****lls mada f*******k
 
lwampel;
Jamani! hamna huyu sio ganja, huyu ni jilani yangu tena namjua vizuri huwa ana matatizo ya akili, yakimuanza ndio hivyo

mwezi mchanga
 
he! he!*he! he!*he! he! hi! hi!*hi! hi!*hi! hi! ho! ho!*ho! ho!*ho! ho! hu!*hu!*hu!*hu!*hu!
Huyu anakufa kwa kucheka yale ya yule bi kizee aliyetaka kubakwa,hebu nihabalisheni ni mjane au nungaembe make inaonesha UKATA UMEMZIDI MSAKINI BIBI WA WATU MUONEENI HURUMA.
 
Aloanzisha thread ana akili saaana... maana anajua kua majibu ya humu ya members ni kichekesho TOSHA!!!
 
hii style ya kucheka kuna sehem ameguswa swal nnalojiuliza ni kama kaguswa kwa hiari
 
Teh teh teh teh. kwi kwi kwi kwi. Ahaaaaa haaaaaa. Jamani mbavu zangu. Bwaahahahaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom