Ha ha ha ! Erasto Nyoni mchezaji bora Tanzania !

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,406
Aliyekuwa anatoa maboko kila leo palestaz amechaguliwa kuwa mchezaji bora tz,na chama cha waandish wa michezo..pesa hii
 
Wacha ujinga. Chuki na wivu wewe ulitaka unayempenda ndio awe mchezaji bora?
 
Kama nyoni ndo mchezaji bora tz,basi soka la bongo lipo chini sana
 
Back
Top Bottom