H.pylori ni yapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

H.pylori ni yapi?

Discussion in 'JF Doctor' started by bulinge, Apr 10, 2012.

 1. bulinge

  bulinge Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana javi naomba kujua madhala yanayosababishwa na hawa bacteria waitwao H.pyroli.
  Mara ya kwanza nilipima mwishoni mwa mwaka 2010 nikatumia dawa na nikapona.
  Wiki iliyoisha baada ya kusumbuliwa sana na tumbo nimekutwa tena na H.pyroli naomba kujua madhala yanayo sababishwa na hawa bacteria.
   
 2. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  madhara yake ni vidonda vya tumbo.
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ulipima hospitali gani tafadhali nijuze!
   
Loading...