H.e.Thabo Mbeki ndani ya UDSM

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,556
422
Aiseeeeeee babaangu nimefanikiwa kuudhulia special lecture ya rais Thambo Mbeki, nimepenya mpaka siti za mbele Nkuruma Hall kufatilia kongamano kwa makini nitawapa update zote wakuu nikitoka nawahi basi nirudi kwetu Mkuu Rombo.
 
aiseeeeeeee kumbe nilikuwa nimekaa kiti cha mkandala wamenitowa nje
 
aisee babaangu prof sivji anamwaga ungenge nimeambulia african nation rise,, watu ni wengi sana
 
Thabo mbeki hana makuu,kanyanyuka kumpatia prof shivji maji baada ya mc kusema prof shivji anahitaji maji.Mi nimefurahshwa na hicho kitendo
 
Thabo mbeki hana makuu,kanyanyuka kumpatia prof shivji maji baada ya mc kusema prof shivji anahitaji maji.Mi nimefurahshwa na hicho kitendo

aiseeee babaangu mweshimiwa baada ya kushika karatasi na peni unukuu mambo ya msingi unaangalia ujinaga embu sikiliza kwa makini shivji anatema point
 
Nothing is new from African leaders na wasomi maneno mengi baada ya hapo mipango ya kupata mapesa isivyo halali wala sina muda wa kuwajadili hao .Maneno tu wakiwaza kugombea Ubunge .
 
Nothing is new from African leaders na wasomi maneno mengi baada ya hapo mipango ya kupata mapesa isivyo halali wala sina muda wa kuwajadili hao .Maneno tu wakiwaza kugombea Ubunge .

acha umbea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom