Tarehe 10 Novemba 2012, kijana mdogo mwenye Uraia wa kuungaunga na elimu ya Kuungaunga wanaemwita Hussein Bashe aliamua kuyavurumisha makombora kwa kasi ya ajabu na bashasha nyingi mbele ya waandishi wa habari mjini Idodomya.Miongoni mwa makombora hayo ambayo ni kichaa tu ndie anayewezakuyavumilia bila kuchukua hatua maani vinginevyo watu wataamini ni ukweli ni pale aliposema "MEMBE AMEZOEA KUBEBWABEBWATU NA VIONGOZI,HANA UWEZO HATA WA KUONGOZA KATA ". Watanzania wengi walipigwa butwaa na makombora hayo wakishangaa mambo mengi. kwanza, Bashe alikopata ujasiri wa kuyavurumusha, pili, ushahidi gani aliokua nao, tatu "timing" ya makombora hayo (muda mfupi tu kabla ya vikao nyeti vya ccm kuanza).
Nimeitafakari kwa makini kauli hii na kuona suala la kubebwa linahusisha watu wawili yaani mbebaji na mbebwaji. Bashe asemapo Membe anabebwabebwa lazma tujiulize ni nani hao wanaombebabeba?? Nionavyo mimi, kwavile Mh Rais wetu mpendwa J. Kikwete ndiye aliyemteua Mh Membe mara ya kwanza kuwa Naibu waziri na hatimaye Waziri kamili tena wa moja ya Wizara nyeti kabisa basi Kosa la kubebabwebwa(kama kweli lipo) MTUHUMIWA WA KWANZA NI MH Rais Kikwete na MTUHUMIWA WA PILI ni Mh B. Membe.
Kwa hali hiyo, Bashe ukiwa ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM naomba unijibu maswali yafuatayo:
1. Je ni kweli Rais Kikweta ndie anayembebabeba Mh B. Membe?
2. Je alianza lini kumbeba? Amembeba kiserikali au pia na kichama?
3. Je amekua akimbebabebaje?
4. Je ni kiongozi gani mwingine wa CCM au serikali anayehusika kumbebabeba Membe?
5. Je kwakua umesema amezoeakubebabebwa ina maana ni mara nyingi, je ni mara ngani? Na amebebwa kwenye nini hasa?
5.5. Je huoni kauli yako inaonyesha RAIS KIKWETE ni mtu wa kubebabeba watu wasio na uwezo?
6. Je unataka kutueleza kua RAIS KIKWETE NI TAAHIRA kwa kumbeba mtu ambae unasema hafai kua hata kiongozi wa kata? Je huoni kua unamkosea sana Mwenyekiti wako?
7. Je ni sahihi mtu asiyewezakua hata kiongozi wa kata kupewa Wizara nyeti kama ya Nje?
8. Je wewe binafsi umewahi kuomba kukutana na Mwenyekiti wako wa chama na kuelezea jinsi Waziri wake alivyo wa hovyo? Kama kwa Mwenyekiti ni maji marefu je umewahi kuyapeleka hayo kwenye vikao halali vya chama?
Kwa heshima na taadhima, Bashe NAKUSIHI SANA umwombe radhi Mh Rais kwani umemkosea SANA!
Aidha, nimjuavyo Membe ni kua ni mtu makini sana. Kitendo cha yeye kuamua kukupeleka kwenye chama na pia mahakamani ujue kwamba ametafakari kwa kina na ana ushahidi wa kutosha. Anajua anachokifanya.Ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko wewe kuweza kuyathibitisha mahakamani yale yote uliyoyasema dhidi ya Mh Membe. Maneno yale hata STEVE WONDER ATAYAONA ni defamation ya wazi kabisa. Naelewa fika peke yako huna ubavu wa kuyataja yale uliyotaja bali kuna kundi kubwa nyuma yako ambalo linadhani kwa matumizi ya fedha kila kitu kinawezekana. Kwa sasa niliweke pembeni kundi hilo niendelee na wewe.
Ulipotoa kauli yako kua utahakikisha Membe hapiti kwenye Top Ten ya NEC niliandika uzi humu JF na nikakueleza bayana kwamba tatizo lako humjui vizuri Membe na kwamba lazma atapita na kweli akapita. Baada ya Membe kupita ukionyesha uchanga wako wa siasa ukadai "Eti, Membe mwenyewe kapita kwa mbinde!". Hata J . Kikwete 2002 alikua wa 18 kati ya 20 lakini ndiye aliyekuja kua Rais 2005. Nakueleza fika kwamba Membe atashinda kesi yake mahakamani na utaamrishwa kumlipa. Najua kwakua unatoka kundi la mafisadi hilo halikupi shida kwani watakulipia na ndio maana ukajitapa kua unamsubiri Membe mahakamani ushindane nae. Hata hivyo binafsi naiogopa zaidi kesi yako inayopelekwa kwenye kamati ya chama. ule "UHAINI" wa wewe na kundi lako kutaka kumnyanganya Rais Uenyekiti wa chama chetu huku mkieleza bayana kwamba chama kinayumba" kwasababu tu ya nyinyi kuitwa mafisadi pamoja na mambo yako ya kutoa bastola na kashfa mbali mbali zinazokuzunguka kijana mdogo kama wewe hivi vyote vinaonyesha mustakabali wako ndani ya siasa nchini unaelekea kubaya!. Kwa wewe na kundi lako kuanza matayarisho ya kufanya "UHAINI" kisha mkakwama na baade kumsingizia Mh Membe eti ndie aliyechapisha makaratasi hayo ni kitendo KIBAYA SANA na ni MWEHU TU ataacha kipite hivi hivi! Mh Membe akiamua kugombea Urais hili linawezakua ni doaKUBWA hivyo ni LAZMA ajisafishe na ukweli ujulikane.
Kuna wasemao kua Mwenyekiti alisema ccm wameondoka Dodoma kama wamoja hivyo hatua achukuazo Membe si sahihi. Huu ni uvivu wa kufikiri. Sina haja ya kuelezea zaidi. Bashe naona kabisa kuna hatari ya Kamati ya CCM kuanza na wewe kama mfano kua sasa CCM ina viongozi wapya na wenye kuchukua maamuzi muafaka. Utakapochukuliwa hatua stahiki itatuma ujumbe kwa watu wenye mchezo wa kuwachafua wenzao bila sababu yoyote. Usijekusema hukutaadharishwa!
Ili haya yasikufike nakushauri uombe appointment na Mh Membe umpigie magoti umwamkie (Maana vijana kama nyie hata adabu hamna mnajiona mko sawa na Viongozi wetu), uombe radhi, uwataje wote waliokutuma. Baada ya hapo futa magoti, ita Press Conference kisha UTIRIRIKE na kumuomba radhi Mh RAIS na MH MEMBE. Huu ni uamuzi mgumu lakini hutakua wa kwanza kutoa maamuzi magumu.
Mwalimu Nyerere tarehe 3.4. 1955 alitakiwa achague ama kuendelea na Ualimu (ambapo alikua ni kati ya Watanganyika wachache wanaolipwa hela nyingi) au aendelee na siasa kazi isiyo na hela na ya kujitolea. Mwalimu akachagua siasa. Aidha, wakati CCM imefanya mabadiliko na kupunguza Kundi la Kifo toka wajumbe 20 hadi 10, wengi waliokuwemo kwenye kundi la kifo la 2007 mf Lowasa, Chenge, Sumaye waliamua kukimbilia mawilayani ili wapite kirahisi lakini Mh Membe alitoa maamuzi magumu na kuamua kua TUTABANANA HAPA HAPA. Kqwakufanya hivyo akawa ni MTU PEKEE aliyekuwemo kwenye wajumbe 20 wa 2007 ambaye aligombea kundi la kifo la nafasi 10. Mh Membe angeweza kwa urahisi tu kwenda Lindi na akashinda bila kupingwa kama Chenge au akashindana na wengine na kushinda kwa 99% kama Lowasa. Hivyo Bashe fanya MAAMUZI MAGUMU kama Mwalimu Nyerere na Mh B. Membe. YES YOU CAN.
Huu ni USHAURI TU ambao nakupa binafsi na sijatumwa na yeyote hivyo unaweza KUUPOTEZEA iwapo unaona hauna tija.
Great thinkers, mwaonaje??