Gzt Jamboleo:Bunge Limetumia Ubabe Uamuzi wa Jairo, Luhanjo!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Nimestilka kuona gzt JamboLeo la Leo linalomilikiwa na Familia ya Rais Jakaya Kikwete linapinga Ripoti ya kamati Teule ya kumuchunguza Jairo, Luhanjo na CAG
 
Nimestilka kuona gzt JamboLeo la Leo linalomilikiwa na Familia ya Rais Jakaya Kikwete linapinga Ripoti ya kamati Teule ya kumuchunguza Jairo, Luhanjo na CAG
Huo ni mtazamo wao, na wanahaki ya kutoa maoni kadri ya uwezo wao na hii inamaanisha huo ndo uwezo wao wa kufikiri
 
Huna haja ya kusikitika wakati unajua kabisa kuwa hilo gazeti linamilikiwa na nani,hata kama wamepinga haitabadili ukweli ambao tumeupata toka kwa kamati na gazeti halina uwezo wa kubadili chochote.
 
Mhariri wa Gazeti hilo aitwaye Willy Edward(0786 294384/0655 294384) anaweka bayana kilio cha Wahusika kuwa Bunge limevunja utaratibu wa Katiba!!!
Mhariri anasema michango yote ya wabunge kwenye kamati hii imelenga kufanya kampeni za 2015.

Pia ameahidi kuendelea kupinga ripoti hiyo kwenye makala ijayo!!!


Hivi gazeti hili halidhalilishi BUNGE ambao ni mhimili wa Dola ???
Kama mwaandishi huyu anachwa aendelee kuandika huku si kudhalilisha Wabunge na kumudhalilisha Spika???

Kwa nini gazeti linalomilikiwa na Rais Kikwete tu liongoze Uhalifu huu ina maana Kikwete hataridhishwa na Ripoti hiyo???

 
Kama Wanalalamika kwa nini walikubali iundwe kamati teule?? Na Anne Makinda amesema kutakuwa na Kamati Teule kama hizo nyingi katika kipindi chake!!!!
 
Back
Top Bottom