X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,810
Gymkhana Yaripuliwa, Yachomwa Moto.
Bar Maarufu 'Gymkhana' maisara na kikwajuni. Jumatano magharibi imechomwa moto na watu wasiyojulikana. lakini inasemekana watu wanne waliyokuwa wamevalia kanzu wakiwa na mapanga na mabomu ya petrol,walivamia bar hiyo wakati wa futari. wavamia na kuanza kutupa moto, na kusababisha walevi kibao waliokuwa wanalewa na kula kwenda mbio. Bar yote imeunguwa moto. hii tukio la nne ndani ya mwezi mmoja, na serikali wiki iliyopita ilionya watu wasijiachiye kwa kula na kunywa pombe hadharani.
source: mzalendo.net