Mkuu ni pale karibu kwa mwinzarubi ama kuna sehemu nyingine pale kuna parking ya magari ndio hapo?Gym kwa sombetini sina uhakika kama ipo ila kuna gym karibu na shule ya sekondari sinoni. Ukihitaji ni PM nikupe contacts za muhusika
Yes mkuu ni hapo karibu na kwa mwizarubiiMkuu ni pale karibu kwa mwinzarubi ama kuna sehemu nyingine pale kuna parking ya magari ndio hapo?