Gym nzuri Arusha ni ipi?

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Habarini...
mi siyo mwenyeji sana hapa jijini Arusha, naomba anayefahamu gym nzuri katika jiji hili anijulishe... ikiwa karibu na maeneo ya huku Sombetini nitashukuru sana. Asante.
 
Gym kwa sombetini sina uhakika kama ipo ila kuna gym karibu na shule ya sekondari sinoni. Ukihitaji ni PM nikupe contacts za muhusika
 
Gym kwa sombetini sina uhakika kama ipo ila kuna gym karibu na shule ya sekondari sinoni. Ukihitaji ni PM nikupe contacts za muhusika
Mkuu ni pale karibu kwa mwinzarubi ama kuna sehemu nyingine pale kuna parking ya magari ndio hapo?
 
Back
Top Bottom