Gx110 for sale Arusha

Mafia Jr

JF-Expert Member
Apr 9, 2014
225
50
2001 Mark 2
petrol,2000cc,4doors,5seater
year:1997
plate BUT
price: Maelewano njoo inbox
Contact: 0743233710 & 0620457021
PicsArt_01-06-12.38.12.jpg
 
Nielekeze na mimi huko inbox aisee maana ndinga nimeielewa sana hii. ila weka bei kwanza ili mpaka nafika huku nijue kabisaa nakuja kuzungumza nini. Me niko bariadi mkuu.
 
Weka bei hadharani huwa si siri uuzaji wa gari.

Umenena. Mnakubaliana unampatia contact zako, anakuja kukuteka na kulazimisha umpe hela.
inategemea na unaefanya nae biashara..hili linauzwa mkononi haliwezi kua na fixed price sio supermarket hapa.hujaja inbox ukashindwa tayar ushaweka maneno yani ni bei tu ndo inakua hivi?? nyie nigun eroo
 
Specifications za gari ni pamoja na bei mkuu.Sioni sababu ya kutuficha ficha. Wengine tunataka mambo ya wazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom