Iv aya magwaride yanatusaidia nn ss? Mbona naona kama n ya kumfuraisha mgeni rasimi tu.
Wakati majeshi ya wezetu yanawaza ni jinsi gani watakupiga bila wao kuja ktk eneo lako..
hilo gwaride nililipenda sana hadi nilitamani kuwa mjeda pamoja na kwamba umri umeenda. walikuwa makini sana na kwa nidhamu ya hali ya juu. jeshi letu zuri sana aisee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.