Gwanchele kutoonekana mzambarauni pasiansi mwanza

karekwachuza

JF-Expert Member
Dec 23, 2013
999
335
Huyu anaejiita mwenyekiti wa matawi 89 ya chadema kanda ya ziwa yaani Gwanchele yuko wapi siku hizi pale kijiweni mzambarauni pasiansi??maana inasemekana ni mfuasi wa zzk,sasa vipi mbona hata kuja kutoa hoja zake kijiweni hafiki??au posho zimepungua kutoka kwa zzk wazee wa ACT??kweli pesa ni noma,yaani siku hizi haonekani kabisa kijiweni au kaahidiwa kupewa uongozi ACT??kazi ipo
 
ametumika kama big G na sasa katemwa! Chezea dhambi ya usaliti weye!????
 
Huyu anaejiita mwenyekiti wa matawi 89 ya chadema kanda ya ziwa yaani Gwanchele yuko wapi siku hizi pale kijiweni mzambarauni pasiansi??maana inasemekana ni mfuasi wa zzk,sasa vipi mbona hata kuja kutoa hoja zake kijiweni hafiki??au posho zimepungua kutoka kwa zzk wazee wa ACT??kweli pesa ni noma,yaani siku hizi haonekani kabisa kijiweni au kaahidiwa kupewa uongozi ACT??kazi ipo

Juzi nilimkuta hapa dampo kwenye kile kijiwe chini ya mwembe anasifia act.
 
Huyu anaejiita mwenyekiti wa matawi 89 ya chadema kanda ya ziwa yaani Gwanchele yuko wapi siku hizi pale kijiweni mzambarauni pasiansi??maana inasemekana ni mfuasi wa zzk,sasa vipi mbona hata kuja kutoa hoja zake kijiweni hafiki??au posho zimepungua kutoka kwa zzk wazee wa ACT??kweli pesa ni noma,yaani siku hizi haonekani kabisa kijiweni au kaahidiwa kupewa uongozi ACT??kazi ipo
Mabozo mliobaki hamna cha kufikiri kijiweni?
 
Back
Top Bottom