karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Huyu anaejiita mwenyekiti wa matawi 89 ya chadema kanda ya ziwa yaani Gwanchele yuko wapi siku hizi pale kijiweni mzambarauni pasiansi??maana inasemekana ni mfuasi wa zzk,sasa vipi mbona hata kuja kutoa hoja zake kijiweni hafiki??au posho zimepungua kutoka kwa zzk wazee wa ACT??kweli pesa ni noma,yaani siku hizi haonekani kabisa kijiweni au kaahidiwa kupewa uongozi ACT??kazi ipo