Gwamaka Mbugi: Kikongwe anayemezea mate BAVICHA

hahahahaha....dunia ilivyo ya ajabu, kikongwe huyo atapita kwa sababu tu... ( sababu naiweka kapuni kwa sasa)
 
Sawa mkuu,,,,,ngoja mwenyewe aje atakuthibitishia umri wake na ushindi wake ,,,,,maana nyakati hizi za siasa ni ushindi bila sheria na kabla ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom