Gwamaka kifukwe wa uongozi institute namkubali sana

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,639
hello,

huyu jamaa alipata phd akiwa na miaka 26, hlf anahoji watu mbali mbali wazito katika kipindi cha uongozi kinachorushwa itv. Huyu jamaa ni intellectual hlf ana personality flan hiv amazing i think he is a gentleman ingawa simfaham personally.

hlf kingereza chake kimenyooka sio american slang, wala kile cha kuunga unga na gundi kama ze zee ze
 
Kunyooka kizungu chake sio ajabu kwa sababu, kama sikosei amesoma IST na post secondary education amesoma UK!

Kuhusu PhD yake, nadhani anaweza kuwa miongoni mwa Watanzania wasiofika hata 10 (kama wapo basi) kuweza kupata PhD katika umri mdogo kama yeye!!
 
ngoja badae niwatch,izo videos youtube.
nina quote yake moja ivi ipo katika website yake inasema 'it is important to look for opportunities rather than sitting around and letting others lead you' kweli jamaa atakuwa smart.
 
hello,

huyu jamaa alipata phd akiwa na miaka 26, hlf anahoji watu mbali mbali wazito katika kipindi cha uongozi kinachorushwa itv. Huyu jamaa ni intellectual hlf ana personality flan hiv amazing i think he is a gentleman ingawa simfaham personally.

hlf kingereza chake kimenyooka sio american slang, wala kile cha kuunga unga na gundi kama ze zee ze
Dogo yuko vizuri sana , IST & Nottingham university product, kazaliwa Norway
 
Ni Mtoto Wa Francis Kifukwe, ni kweli kwao wapo vizuri kiuchumi. Pia ana elimu na ufahamu Wa kutosha na ana exposure kubwa kutokana na mazingira aliyokulia. Mama yake ni Mnorway aliyezama kwa penzi adhimu na la dhati la mzee Kifukwe.
Asili ya baba yake ni Wilaya ya Kyela Mkoa Wa Mbeya. Upande Wa Baba yake wanamaisha mazuri toka enzi za Nyerere mpaka Leo hii awamu ya tano.
Kwa nyongeza tu, Baba yake mdogo kaoa kwa Mhe. Edward Lowasa.
Kwa ufupi sana haya ndiyo niyajuayo ya huyo kijana msomi na mwelimika, He is very smart ,brave and intelligent.
 
hello,

huyu jamaa alipata phd akiwa na miaka 26, hlf anahoji watu mbali mbali wazito katika kipindi cha uongozi kinachorushwa itv. Huyu jamaa ni intellectual hlf ana personality flan hiv amazing i think he is a gentleman ingawa simfaham personally.

hlf kingereza chake kimenyooka sio american slang, wala kile cha kuunga unga na gundi kama ze zee ze

Kwa hizi sifa unazompa Mkuu nitakuwa wa mwisho kutokuamini kuwa ameshatiririka na kuserereka nawe Kibaiolojia.
 
Dogo mshua wake Mzee Francis Kifukwe mtu poa sana.

Mmenikumbusha Chole Road long time hawa watoto walikuwa madogo sana IST siku hizo.
 
Dogo mshua wake Mzee Francis Kifukwe mtu poa sana.

Mmenikumbusha Chole Road long time hawa watotowalikuwa madogo sana IST siku hizo.

Oya hebu tujuane basi Mkuu kwani nami nimezaliwa na kukulia hapo nikiwa nyumba namba moja kati ya nyumba saba zile za Serikali ambapo jirani yetu alikuwa Mzee Professor Mushi, ile nyumba ya Ubalozi wa Msumbuji, ikaja nyumba za akina Mzee Masilingi na Mzee Lukuvi. Jirani zetu zilikuwa ni zile Flats za UN na Kota za Bandari.

Hapo jirani na Shule ya IST walikuwa wanakaa Washikaji zangu akina Barry ambaye sasa yupo PCCB, Saadat, Andrew na Edward bila kumsahau Brother wetu Neon aliyekuwa akiishi katika Flats za Benki na NEDCO ambazo leo zimegeuzwa kuwa Hostels za Wanafunzi wa Chuo cha Udaktari cha Muhimbili. Na hii ilikuwa ni miaka ya kuanzia 1986 hadi 1995 kisha baada ya hapo wengi Wetu tulianza kupotezana kwa ajili ya Masomo.

Tujuane tafadhali Mkuu mwa Chole Road mwenzangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom