Askofu Gwajima unacheza ngoma ambayo wanaKawe hatukukutuma

Ninahisi tutakuwa na uchaguzi mwingine Kawe.
Hili dude bado linacheza ngoma ambayo hatukumtuma.
 
Na hamna cha kumfanya...
Bhakong'weetake???
1629268118656.png
 
Askofu Gwajima tulikutuma kutatua matatizo ya barabara za lami, viwanja kupimwa na kurasimishwa, huduma za kijamii kuboreshwa na mengine mengi. Barabara yangu bado haijawekwa lami na ndio kilio changu miaka yote.

Sasa Askofu Gwajima unademka na ngoma ya chanjo na covid! Tunajua fika uwezo wako mdogo kisayansi unavyokuumbua.

Katiba kwa kweli ingebadilishwa ili tumtoe mbunge aliyejisahau majukumu yake.
Huyu jamaa tunasubiri kuhamia Marekani. Asifikiri tumesahau
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom