Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Katika watu wanaotakiwa kupata somo juu ya utulivu kwenye misiba ni Lema pamoja na ''mshenga'', Gwajima.
Mbunge wa Moshi ndugu Jaffar Michael ametoa funzo kwa Godbless Lema kuwa kuongea kwenye msiba sio tija au hakukufanyi ukawa mfiwa zaidi au mhusika zaidi. Wazungumzaji wakuu wa msiba wa marehemu Mzee Ndesamburo, walikuwa ni viongozi wa vyama vya siasa kitaifa pamoja na 'nabii' na 'sheikh' rasmi wa Chadema.
Ingekuwa Lema ndiye mbunge wa Moshi yawezekana kabisa pangechimbika, angeangua kilio kutaka kupewa mic.
Huu ni ushahidi tosha kuwa Lema hakuguswa na msiba bali kiki za msibani vile vile na Gwajima.
Hongera Mbunge Jaffar Michael na Mstahiki Meya Mboya mmeotoa fundisho kwa Lema na Gwajima.