Gwajima na kisa cha kuwaita binadamu 'mbwa'

Kwako GWAJIMA

Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu

Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa

Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa

Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri

Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali

Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo

Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu

Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni

Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki

Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena

Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma

Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?

Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?

Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?

Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.
Acha hasira mingu na Gwajima.
Ngoja nikuulize tu. Hivi nawe uliandamana au ulikaa kwenye keyboard
 
Unaweweseka? Duka la kuku ndio Nini?
Biashara ya uchaguzi Ndio imeisha hiyo jipange kujiweka sawa kimaisha.

Kama una mawazo sijui ya mahakama ya ICC maana yake unaota mchana wa jua kali.

Wapinzani waliambiwa na Kitila Mkumbo tangu 2016 kwamba wajipange kwani wakiendekeza siasa zile za miaka ya nyuma itakula kwao mazima.
 
Mtabweka Sana, mpaka ifike 2025 mtakuwa hoi bin taabani.
 
Biashara ya uchaguzi Ndio imeisha hiyo jipange kujiweka sawa kimaisha.

Kama una mawazo sijui ya mahakama ya ICC maana yake unaota mchana wa jua kali.

Wapinzani waliambiwa na Kitila Mkumbo tangu 2016 kwamba wajipange kwani wakiendekeza siasa zile za miaka ya nyuma itakula kwao mazima.
Nakushangaa bado unapiga kampeni. Ina maana huamini ushindi walioupata ccm?
Icc mtakwenda, na vikwazo mtawekewa na vile vijisenti mlivyovinyakua kwa wizi na ufisadi vitazuiwa ili tufanane! Kaa kwa kutulia ili nikutafute kukukumbusha!
 
Hayo ya ICC yalisemwa wakati Lowassa aliposhindwa urais wewe unayarudia miaka minne baadae!.

Mkuu amka tuchape kazi achana na ndoto.
 
Binafsi nilishangaa kwanini nafasi ya kuzungumza baada ya Raisi hawakupewa wabunge wazoefu.

Huenda Spika alikua na nia njema ya kumpa nafasi Gwajima aonyeshe kipaji chake, lakini kwa bahati mbaya Gwajima akaharibu.

Maneno aliyatumia Gwajima, pamoja na kwamba amenukuu toka kwa Winston Churchill, sidhani kama yalikuwa yanafaa kwa mazingira ya sasa ya siasa zetu. Mzungumzaji mzoefu na mtu mahiri ktk siasa hawezi kutoa kauli ya namna ile baada ya uchaguzi mkuu.

Mwalimu 1995 alisema he wouldn't let his country go to the dogs. Ulimwelewaje?
 
Kwako GWAJIMA

Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu

Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa

Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa

Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri

Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali

Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo

Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu

Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni

Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki

Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena

Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma

Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?

Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?

Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?

Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.
Mtu anapewa milioni 100 za shangingi na shopping ya milioni 50, kwanini asituite mbwa na wana kawe
 
Samahani mleta mada tukikuweka mbele ya mahakama ututajie jina la angalau binadamu mmoja alieitwa na gwajima "Mbwa" unaweza kututajia?

#kukurupuka hakujawahi kumuacha mtu salama.
Amekuita wewe ni mbwa ..woof woof woof
 
Ubunge wa kuteuliwa? Acha kudhalilisha wananchi wa Kawe ndugu! Mkae kutengeneza video afu useme ulikutwa na video ya ngono? Nenda bhanaaaa Gwajima katuwakilisheeee
 
Acheni umbumbumbu . Kama hata fasihi hamzijui ndio mnataka nchi.!!! Tumechoka na uwehu wenu. MNALETA VITHREAD VYA KUTIA HURUMA ILI IWEJE?
Sasa Mbona wewe mbweha ndiyo mbumbumbu juha zuzu kilaza kabsa nani kakuambia kuwa ukiandika huo upumbavu wako utaonekana una Akili timamu huko CCM?
 
Ubunge wa kuteuliwa? Acha kudhalilisha wananchi wa Kawe ndugu! Mkae kutengeneza video afu useme ulikutwa na video ya ngono? Nenda bhanaaaa Gwajima katuwakilisheeee
Gwajima amwakilishe nani? au aiwakilishe Tumeccm wakurugenziccm Polisiccm waliomzawadia ubunge kwa njia haramu za kishetani?
 
Kinachomtesa mtoa maada si ukada. Bali fikra hasi(negative mind). Alafu hawapend vingozi wa dini, wivu unamsumbua sana huyu jamaa, Gwajima, kuwa mbunge.mtoa maana anapata taabu sana
Wivu upi? Gwajima kuwaita watu mbwa na wivu vina uhusiano gani? Gwajima ndiyo mwenye wivu wa kishetani kuwaita watu mbwa
 
Hiyo inaitwa kurusha jiwe gizani ukiona limekupata ujue linakuhusu
Tatizo hujaelewa alichokuwa anamaanisha hasa ni tabia walizonazo baadhi ya watu ni kama mbwa
Afu mbona hata YESU alimwambia yule mama siwez kuwapa mbwa chakula cha watoto
Ndo ujue neno mbwa limetumika kama lugha ya picha kuwakilisha tabia fulani
 
Umri wako tafadhali!!, Sio mbaya ukieeka na elimu y'all, maana yawezekana sio kosa lako, kipi ambacho hujaelewa alichosema askofu gwajima?? DONT CAUSE A STORM IN A TEA CUP, yaani hotuba nzima umeona Hilo tuu?? Maneno hayo yalikuepo tangu hapo, uliwahi sikia waingereza wakimlaum kiongozi wao KWA kuyasema hayo. Tanua ubongo.

NB: KUWA MZALENDO NA NCHI YAKO.
Uzalendo gani huo wa kifala? Hakunaga uzalendo kwenye wizi wa kura kuwatukana watu kuwaita mbwa kwa kutumia mifano ya wakoloni ambayo haiendani na utamaduni wa Tanzania
 
Back
Top Bottom