Gwajima na kisa cha kuwaita binadamu 'mbwa'

Acha hasira mingu na Gwajima.
Ngoja nikuulize tu. Hivi nawe uliandamana au ulikaa kwenye keyboard
Maandamano tarehe 2 nyinyi tarehe 1 mkawakamata viongozi hapo nani muoga wa maandamano? Ni kwa nini hamkusubiria tarehe 2?
 
Kwako GWAJIMA

Kwanza tulianza kusikitishwa na video zako za ngono na wengine tukiamini wewe ni mtumishi wa mungu

Leo umeita wananchi (MBWA) hadharani kumsherehesha aliye kupa ubunge wa kuteuliwa

Napenda kukwambia wananchi walio dhulumiwa uchaguzi kuumizwa kufungwa kuuwawa sio mbwa

Mbwa ni mtu aliye kuwa mtetezi wa watu lakini baada ya kutupiwa nyama na kusahau alicho kuwa ana hubiri

Mbwa ni yule aliye acha kuwa mtumishi wa kiroho na kuwa mtumishi wa chama na serikali

Kwa sasa unasema tuna bweka maana tayari una roho iliyo kuvaa Uzinzi /Madaraka/uongo

Askofu DESMOND TUTU alisha wahi kusema dini ni kama kisu unaweza kukatia mkate au kuumiza watu

Yawezekana kabisa unawaona waumini wako ni mbwa au mbuzi pale unapokaa madhabahuni kwa dini iziizi zimekuwa mlango wa kupumbaza na kuhalalisha mateso kwa wa Tanzania kama walivyo fanya enzi za wakoloni

Gwajima ao mbwa wanao bweka ndo walio shinda uchaguzi ngazi zote ila ukapewa wewe ubunge haramu kwa nguvu ya dola
ukaenda kuapa kwa Bible ileile inayo unayo tumia madhabahuni kuubiria haki

Ao mbwa ndo wanao kuletea sadaka hatimaye umekuwa tajiri wala uwaoni ni watu tena

Ao mbwa ndo wanao lipa kodi mishahara inalipwa apo bungeni ndo maana ukujali ukaapa kuingia kwa jasho damu na dhulma

Gwajima sisi mbwa tunakuuliza kuna mahusiano gani kati ya shetani na icho chama unacho kitumikia sasa?

Gwajima sisi ma mbwa tunakuuliza umeyaona haya yakitokea mauaji mateso kwa wapinzani uka kaa kimya kumbe ulikuwa unaona ni ma mbwa wana teseka?

Ivi nani mbwa kati ya yule aliye wekwa ndani kwa tuhuma za madawa ya kulevya baadae kidogo baada ya kuwekewa tonge mdomoni ndo anawalamba miguu?

Sisi mbwa atuta choka kupiga kelele ndo kazi yetu maana sisi ni bora kuliko mbwa aliye pewa mnofu atulie kimya.

Kachaguliwa na usalama wa taifa mwenzako kwanini asiwaone watu mbwa
 
Uzalendo gani huo wa kifala? Hakunaga uzalendo kwenye wizi wa kura kuwatukana watu kuwaita mbwa kwa kutumia mifano ya wakoloni ambayo haiendani na utamaduni wa Tanzania
Baada ya kuona ID yako, haaata Sina shaka kabisa maana sio kosa lako.
 
Baada ya kuona ID yako, haaata Sina shaka kabisa maana sio kosa lako.
Wanapiga kelele mabeberuuu kumbe ubeberu tunao wenyewe wa kujiongezea kura na kujitangaza ......refer kauli hii ya mtukufu rais" yaani mimi nikuteue mkurugenzi, nikulipe mshahara, gari nk halafu uchaguzi ukamtangaze mshindi wa upande ule..na ndio kimefanyika hawakuwatangaza walioshinda wa upande ule ....HUO NDIO UBEBERU ULIOZIDI KIPIMO, bado watanzania kuna gizaaaa
 
Wengi wanaokubali upuuzi wa gwajima humu ni wanaosali kwake wale watumishi wake wanajidaigi mabodigadi wake,wanafaidi nae pesa za sadaka za wenzao wale, hawafai wale, wamevimbiwa wale, wanaita binadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu mbwa wale, mkono wa Bwana uendelee kuwachapa wale, wanajipendekeza kwa mfalme wa dhambi wale,wajingajinga kabisa wale, sijui wanakula maharage ya wapi wale...
.
Dua la kuku
 
Back
Top Bottom