Uchaguzi 2020 Gwajima: Mbunge wa Kawe ni maarufu Mahakamani sio maarufu kwa watu wake

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe, Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM, Josephat Gwajima amesema aliyekuwa Mbunge wa kawe sio maarufu kwa watu wa Kawe.

Ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha asubuhi cha mojamoja kwa moja Channel 10. Amesema Mbunge huyo ni maarufu Bungeni na mahakamani lakini hafahamiki kwa watu wa Kawe.

Jimbo la Kawe limekuwa chini ya Mbunge, Halima Mdee kwa tiketi ya CHADEMA kwa miaka kumi. Na katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, Mdee anatetea Jimbo lake kwa tiketi ya CHADEMA.
Gwajima wewe umaarufu wako ni kumega wake za watu, umevunja ndoa ya Mbasha Mungu akulaani kabisa, au kwa vile mkeo ana sura ya kuzimu ndiyo maana unawagongea wenzako.
 
Gwajima hauziki
Gwajima anakutosha wewe tu.




Kwa kuwa ni lazima tuchague mmoja kati ya hao watangazania waliopo,

Kwa kuwa Halima kwa kipindi cha miaka 10 tulompa kwa ujumla hatukuona jipya hata sasa though kuna machache ameyafanya.

Tukiandika ule ukweli wa moyoni bila kuweka ushabiki wa kisiasa mbele ni Gwajima pekee anayefaa kuwa mbunge wa Kawe 2020 -2025
 
Back
Top Bottom