Watu kama hawa wenye kutumia joho la uhubiri kuvuruga watu ni wakucharaza bakora tu. Matatizo aliyoyasababisha mwaka jana kwa kweli yanatosha kutokumjali tena.
Nilidhani mwaliko ulitolewa wa jumla kwa wazee?!Hahahaha Lowasa na UKAWA watakufa na presha! Nampongeza Ngwajima kutambua kuwa wakati wa campaign umekwisha sasa ni kazi tuu! Ni vyema UKAWA wakajifunza kwa Ngwajima!
NB kila aliye kwenda pale alipewa mualiko hivyo Ngwajima alipewa mualiko..serikali ya JPM haina tatizo na mtu!
Ameweza kuwa mama atashindwa kuwa mzee umemwona alivyojisikia salama kwenye hiyo event inayowaonyesha kina mama?Naye ni mzee?
Watu kama hawa wenye kutumia joho la uhubiri kuvuruga watu ni wakucharaza bakora tu. Matatizo aliyoyasababisha mwaka jana kwa kweli yanatosha kutokumjali tena.
Naye ni mzee?
Hivi ni yeye kweli..? siamini macho yangu. Gwajima mutoto ya mujini..