Gwajima ana matatizo gani na CHADEMA?

Ngwajima anamatatizo gani na chadema?
Kila kukikucha yeye ni chadema tu
Akilala akiaamu yaye ni chadema
Akihubiri kanisani yeye ni chadema tu
Akitembea yeye ni chadema tu
Akila yeye ni chadema tu
Anamatatizo gani na chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakati anawatetea 14, 15, mbona hukuleta uzi hapa tujue kwa nni anawatetea na kwenye vikao vyenu anaingia?
 
1. Alikua anataka kutengeneza video na demi mmoja wa chadema, demu akamtolea nje.

2. Anaogopa kibanda chake kisije fungwa na serikali..
Ngwajima anamatatizo gani na chadema?
Kila kukikucha yeye ni chadema tu
Akilala akiaamu yaye ni chadema
Akihubiri kanisani yeye ni chadema tu
Akitembea yeye ni chadema tu
Akila yeye ni chadema tu
Anamatatizo gani na chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wamesaliti Wananchi Ndio maana Watanzania Wengi hawataki hata kuisikia
 
Ngwajima anamatatizo gani na chadema?
Kila kukikucha yeye ni chadema tu
Akilala akiaamu yaye ni chadema
Akihubiri kanisani yeye ni chadema tu
Akitembea yeye ni chadema tu
Akila yeye ni chadema tu
Anamatatizo gani na chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kumchezesha filam za kina mandingo kaufyata

Its not over until its over...
 
MKUU GWAJIMA HUYU SIO YULE WA KABLA YA KUINGIA PORN INDUSTRY, HUYU WA SASA ANATUMIKA BILA KUPENDA
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom