Gwajima ana matatizo gani na CHADEMA?

Ana ugomvi wa kimaslahi na Chadema. Tukumbuke Chadema waliwahi kupendekeza Makanisa na misikitini watu wasiende ili kuendelea kuchukua tahadhari ya COVOD 19. kwahiyo Hali ile viongozi wengi wa dini hawakupenda kanisa, Kwasababu kufanya hivyo wait wanaweza wakakosa waumini na Makanisa au misikiti kufingwa.
Ni mtazamo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana ugomvi wa kimaslahi na Chadema. Tukumbuke Chadema waliwahi kupendekeza Makanisa na misikitini watu wasiende ili kuendelea kuchukua tahadhari ya COVOD 19. kwahiyo Hali ile viongozi wengi wa dini hawakupenda kabisa Kwasababu kufanya hivyo wangeweza kukosa waumini na Makanisa au misikiti kufungwa.
Ni mtazamo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngwajima anamatatizo gani na chadema?
Kila kukikucha yeye ni chadema tu
Akilala akiaamu yaye ni chadema
Akihubiri kanisani yeye ni chadema tu
Akitembea yeye ni chadema tu
Akila yeye ni chadema tu
Anamatatizo gani na chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
Misosi mi naimba nitoke vipi,nabaki najiuliza nitoke VP na style za kihaya🤣🤣
 
Sina shida na gwaji boy kabisa.. tatizo ni waumini wake.. kweli imani ni ulevi..
 
gwajima na kakobe waliwai kuwa chadema damu.tena baba askofu kadinali pengo alidhalilishwa na gwajima kwa sababu ya chadema.

lkn wameona kuna upuuzi mkubwa sana ndani ya chadema unaendelea wakaamua kutema ngese.
wameona mambo yoote waliyoyataka yanatekelezwa na rais magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngwajima anamatatizo gani na chadema?
Kila kukikucha yeye ni chadema tu
Akilala akiaamu yaye ni chadema
Akihubiri kanisani yeye ni chadema tu
Akitembea yeye ni chadema tu
Akila yeye ni chadema tu
Anamatatizo gani na chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta huruma ya bashite,ili umfurahishe jiwe wanenee au wafanyie ubaya wowote chadema au Zito hapo teuzi zitakutafuta pia ni Kinga ya utumbuzi.
Kanisa lake ni sawa na Yale yenye usajili wa wino wa pencil ambayo msajili akipewa maagizo anawezayafuta hata akiwa likizo,haya makanisa yote ni lzm yaisujudie ccm ili yasifutwe, kumbuka Hawa nje ya sadaka hawawezi ishi akili zilishalemaa.
 
gwajima na kakobe waliwai kuwa chadema damu.tena baba askofu kadinali pengo alidhalilishwa na gwajima kwa sababu ya chadema.

lkn wameona kuna upuuzi mkubwa sana ndani ya chadema unaendelea wakaamua kutema ngese.
wameona mambo yoote waliyoyataka yanatekelezwa na rais magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya makanisa yanayowezafutwa mda wowote hayawezi kuwa against ccm ili yaendelee kusurvive.
 
MKUU GWAJIMA HUYU SIO YULE WA KABLA YA KUINGIA PORN INDUSTRY, HUYU WA SASA ANATUMIKA BILA KUPENDA
Ni Mateka Kama alivo kazi mateka wa hela za matibabu akienda kinyume tu lzm file la uhujumu uchumi lipelekwe kwa DPP
 
Ni mshenga wa kumleta Lowasa chadema!



Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati anamleta Lowassa CHADEMA alikuwa na akili nzuri. Wakati anamnanga Makonda Gwajima alionekana ana akili nzuri. Kote huko wanaCHADEMA walikuwa naye. Sasa anaongea mambo yasiyopendeza jumuia ya CHADEMA kama kutokuunga mkono lock-down tunaona Gwajima kachanganyikiwa. Kumbe kupingana na CHADEMA ni kuchanganyikiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom