Gwajima alifuata ushauri wangu kukataa kujibu maswali ya kamati ya bunge. Bunge halina mamlaka hayo

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
555
915
Siku moja kabla Askofu Gwajoma hajahojiwa na kamati ya bunge niliibua uzi unaosema bunge halina mamlaka ya kumuhoji alichoongea kanisani.

Hivyo nikashauri Gwajima akatae kujibu swali lolote atakaloulizwa.

Nilisema wazi ninampinga Gwajima msimamo wake wa kutotaka watu wachanjwe kwani mimi mwenyewe nimeshachanjwa.

Japo ninampinga ninapinga bunge lilivyojidhani lina mamlaka ya kumwajibisha Gwajima.

Sasa nyepesi-nyepesi zimeanza kutoka na soon zitatoka zote.

Taarifa ni kwamba Gwajima alikataa kujibu swali lolote kuhusu alichohubiri kanisani.

Hiki ndicho sahihi na ndivyo nilivyoshauri. Ushauri wangu nilioutoa ni huu

Alichokataa bungeni ni hiki

Tunashukuru kwa ushauri boss nafurahi kuona chanjo haijakuadhiri.... mimi bado sana kuhusu. Swala la chanjo madaktari wengine wanasubiri mimi nimesoma biashara nichanjwe kisha nimeshauriwa kweli ngoja nisubiri kwanza muda ukifika kama inafaa chanjo tutaifata ila kwasasa tusubiri nasubiri kwanza....
 
Umejuaje kama hakujibu swali lolote? ina maana muda wote kule ndani walikuwa wakiangaliana tu?
 
Tunashukuru kwa ushauri boss nafurahi kuona chanjo haijakuadhiri.... mimi bado sana kuhusu. Swala la chanjo madaktari wengine wanasubiri mimi nimesoma biashara nichanjwe kisha nimeshauriwa kweli ngoja nisubiri kwanza muda ukifika kama inafaa chanjo tutaifata ila kwasasa tusubiri nasubiri kwanza....
Ni suala la hiari
 
Siku moja kabla Askofu Gwajoma hajahojiwa na kamati ya bunge niliibua uzi unaosema bunge halina mamlaka ya kumuhoji alichoongea kanisani.

Hivyo nikashauri Gwajima akatae kujibu swali lolote atakaloulizwa.

Nilisema wazi ninampinga Gwajima msimamo wake wa kutotaka watu wachanjwe kwani mimi mwenyewe nimeshachanjwa.

Japo ninampinga ninapinga bunge lilivyojidhani lina mamlaka ya kumwajibisha Gwajima.

Sasa nyepesi-nyepesi zimeanza kutoka na soon zitatoka zote.

Taarifa ni kwamba Gwajima alikataa kujibu swali lolote kuhusu alichohubiri kanisani.

Hiki ndicho sahihi na ndivyo nilivyoshauri. Ushauri wangu nilioutoa ni huu

Alichokataa bungeni ni hiki

Saaafi sana kiongozi!
 
Back
Top Bottom