Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
umenena mwali!!!!!!!
shostito km shuz basi umelitoa hahahahaaaaaaa!!!!!!!!!!!!wape wape mwanakwetu wapakie wajae manake wengine sjui ni childsh mind au uvivu wa kujitambua na kutambua wengine wanataka nini...........dah ooh m a man gud luking m lukiong for btful gal wu z good luking like me oh yahusu?
ur gud luking yeees bt upstair ni makorokocho matupu so intasaidia nin mimi ndani ya nyumba?
kwanza kwa DATA nilizonazo ni kwamba magud luking man hawana lolote kuanzia kwa fundiseremala mpk mambo mengine ya maisha...lakin awa wanaume wenye sura km .........dah ndo waukweli kinyama kuanzia kwa fundi mpk mambo mengine yan utafuraia then its guarantee thou its not 1000% thats he z yrs only ata km wakichoropoka rate yao haiwi ndeeeeeeeeeeeefu sana compare to ao magud luking ambao awajui kuzungumza na mwanamke ye anategemea uzuri wake ndo utazungumza bt akifungua kinywa mmh madudu matupu ni kejel majivuno na dharau!!!!!!!!!!
braaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaavo to ol ugly faces men!!!!!!!!!!!!ur real gud cz mna UTU!!!!!!!!!!!1
bt si mahandsome wote wabaya wengine wazuri kitabia ingawa wachache!!!!!!!!!
ukipinga hii bas we handasm boy wth makorokocho.........:lie:
nawasilisha mie nimalizie report yangu!!!!!
stay blesed eennnh!!!!!!!!!!:A S tongue:
Rose1980 mipasho yako kiboko.Na wahusika watakuwa wamepashika vilivyo!!! teh teh!