Guys nimepata mtoto wa ....

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Jamani Mola kanijalia mtoto wa kiume anafanana na baba yake na babu yake sijui kama tabia zitafanana na baba yake na babu yake, pia nimempa jina la babu yake sijui atakuwa na tabia za babu yake kilaji na totos kwa sana
Asanteni wale wote mtakaonipa pongezi
 
HONGERA MAMA!
mimi nitaongeza wa kike wa pili ili mwanao aje amuoe.

mimi mungu amenijaalia kuleta warembo DUNIANI
 
Nilifikiri wewe ni mwanaume!!! Du au ndiyo wewe ni mwanaume unajificha kwa staili hiyo? Ni haki yako mkuu kujinafasi utakavyo. Vinginevyo, hongera sana.
 
hee kwani ngoma nzito ni mwanamke ??
hongera sana mwenyezi mungu akujaalie afya njema wewe na mtoto
pia umpe mtoto malezi bora .
be blessed
 
KWANZA Hongera SANA.

kUNA JAMBO MOJA NATAKA UJUE TANGU SASA...

Kama babu zake walikuwa na tabia zisizo nzuri, basi kwa imani yako vunja laana za mababu ili zisimfuate mtoto.

Mwombee mtoto awe na tabia njema na hekima, achana kufuatiliza mambo ya kale ya mabibi na mababu, hayatamsaidia lolote mtoto zaidi ya kumlemaza!

Tunavyoamini kisayansi ni kwamba mtoto anazaliw akiwa empty kichwani, na anaanza ku'store kile utakachomfunza wewe...sasa ni wewe against him...mlee awe unavyotaka, BASI!
 
Congrats mkubwa, kumbuka kulea mtoto sio kazi, kazi ni kulea mwana. Na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!!
 
kila la heri, lazima awe mwanchama wa JF akikua mkubwa...
ntakuletea nepi soon.....
 
jamani mola kanijalia mtoto wa kiume anafanana na baba yake na babu yake sijui kama tabia zitafanana na baba yake na babu yake, pia nimempa jina la babu yake sijui atakuwa na tabia za babu yake kilaji na totos kwa sana
asanteni wale wote mtakaonipa pongezi

uzi hupita ilipopita sinda...
Mtoto wa nyoka ni nyoka.....
Wa mbili havai moja....
Mtoto wa nyoka hafundishwi kuuma....

Lakini yote kwa yote mtoto umleavyo ndivyo akuavyo...
Mlee mtoto njia impasayo naye hatoiacha hata atakapokuwa mzee.......

Jipe moyo utashinda.
 
Nilifikiri wewe ni mwanaume!!! Du au ndiyo wewe ni mwanaume unajificha kwa staili hiyo? Ni haki yako mkuu kujinafasi utakavyo. Vinginevyo, hongera sana.

hahaaaa huyo ndo ngomanzito mamen!!!! the more u try to understand him/her the more complicated he/she becomes!!!

hongera....mara thread za mkewe kaweka pedi ndani wiki mbili, mara yeye ni she sijui kawa bitreidi yak!!!

na we Goeff wapi huku unataka kuwaoza hao akina shangazi sasa!!!
 
haaah madame una kumbukumbu nilikuwa nimemsahau kumbe ni yule mwenzetu

Ngoma nzito location yako wapi nilete zawadi za mtoto
 
moja ya watu ninaowakumbuka sana kwa kuja na jinsia mbili, hahaaaaa!!! matata kweli kweli!!!

ila mpongezeni ki-HE au ki-SHE!!
BTW FL1 ukipeleka gift pitia na yangu plz!!!
 
haaah madame una kumbukumbu nilikuwa nimemsahau kumbe ni yule mwenzetu

Ngoma nzito location yako wapi nilete zawadi za mtoto

FL1
Asante kwa zawadi Mola akujalie mie mwenzenu tu

Loc nipo Tumbi unaweza fika kwa babu atakuonyesha njia

Thanks all
 
KWANZA Hongera SANA.

kUNA JAMBO MOJA NATAKA UJUE TANGU SASA...

Kama babu zake walikuwa na tabia zisizo nzuri, basi kwa imani yako vunja laana za mababu ili zisimfuate mtoto.

Mwombee mtoto awe na tabia njema na hekima, achana kufuatiliza mambo ya kale ya mabibi na mababu, hayatamsaidia lolote mtoto zaidi ya kumlemaza!

Tunavyoamini kisayansi ni kwamba mtoto anazaliw akiwa empty kichwani, na anaanza ku'store kile utakachomfunza wewe...sasa ni wewe against him...mlee awe unavyotaka, BASI!

mzazi, zingatia haya kwa dhati,

hongera sana sana saaaaaaaaaaaaaaana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom