Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,111
Mahindi hapana aisee, shuka litalalika hapo naiti meya asee?
Mahindi hapana aisee, shuka litalalika hapo naiti meya asee?
Basi nisamehe mkuu
👍Mkuu unaruhusiwa kumfundisha mke wako namna nzuri ya kuandaa chakula unachokipenda...
Ishu inakuja labda kama ni mbishi hataki kujifunza..
Mama angu wee...ujana umetukutanisha na vingi acha tu.Huyo si mdada. Anakula nini? Hata kama kazaliwa maternity ward bado kuna siku aliwahi tamani kula anachokipenda. Je, alikinunua wapi? Msomeshe hadi akuelewe
Ujana nao una mwisho. Kila kukicha ni uzee umeingia kwakoMama angu wee...ujana umetukutanisha na vingi acha tu.
hatojua tena ni kama kufunza mbwa mzeeMwanamke mwenye miaka 18 asiyejua kupika ni ngumu kujifunza