Guys, is this real?

I don't wanna put more words. Just take a look at the picture and give your comments as far as Tanzanian context is concerned. Naonaga picture ukioa Haika wa Marangu...na ukioa Mwantumu wa Tanga jiandae kupata ladha tofauti jikoni.

Disclaimer: Sipondei wachaga wala wakaazi wa mkoa wa K'njaro wala sina upendeleo na Tanga. Ni mifano hai tu ili tuelewane.

Samahani atakayekwazika.View attachment 1179424
Kaka that is really.
Kuhusu upishi haina habari za hela yako ndio inakupa mlo mzuri huo ni uongo.
Mapishi ni ufundi.
Watu wa Kilimanjaro hata uwaeke hiyo nyama hawajui kuipika km mtu wa Tanga.
Jessica akipewa nyama na viungo vyote ataichemsha na kuiweka nyanya na royco basi.
Ladha ya kawaida.
Fatma ukimpa nyama hyo hyo ataiweka viungo kama vyote ataisagia pili pili mtama iliochanganywa na karafuuu.
Ukila nyama kama unat.o.m.b.a.
Yani ni tamu kuliko ya Jessica lakin nyama ni ile ile.

Wachaga hawajui kupika hata uwajazie vitu ndani lakin watoto wa. KItanga bro ni number nyingine.
NIMEKAA NAO WOTE WACHAGA NA MM, MM NAJUA KUPIKA.

MKUU TANGA UTAPIKIWA WALI WA KARAFUU NA NAZI.
TOGWA LA MAKOPA YA NAZI.
NYAMA ILOUNGWA NA NAZI.

BROO ACHAAA SIO WACHAGA UTAPIKIWA MTORI DAILY.

We hujiuliza vyakula vitamu kwann vyote asili yake mwambao wa pwani??
 
Hadi wewe Ustadh? Ila siyo mbaya mbona simple tu kaoe tanga mkuu usifanye mambo kuwa complicated!
Yeah kaka nitaoa kule nahisi mke wa pili nikijaaliwa.
Maana wana mapenzi mubashara maji ya kuoga wachemshiwa na iriki na karafuu ili unukie we umeshaona wapi haya kwa Wachaga ??
Chai wachemshiwa na mchai chai ,mdalasini,karafuu ukinywa ni rrahaa.
Viungo vitamu vya mapishi vyote asili yake mwambao wa pwani ww mwenyewe hubishi kaka.
 
Hapo nilichopenda ni kumuona mzee wa kuvunja records drake dreezy graham mzee wa Toronto mengine yote takataka.
 
Mkuu unaruhusiwa kumfundisha mke wako namna nzuri ya kuandaa chakula unachokipenda...
Ishu inakuja labda kama ni mbishi hataki kujifunza..
Wengi wao wapo hivyo mkuu,wabishi hawaambiliki hasa hao wa kanda kaskazini kunako mlima mrefu barani Afrika..
 
Jessica ndio mpango mzima. Nizungukwe na misosi, kwani nimeoa mama lishe? Siwezi kuoa mswahili swahili mimi
 
Mkuu, Mfuko wako ndo utakupa unachokitaka. Hata nyama ya mtu utaipikiwa, ya ng'ombe utasagiwa na ya mbwa utarostiwa. Mfuko wako ndo ruksa yako si kabila. Hivyo vyakula vyote hununuliwa sokoni
Weeee kuna vidada HAVIJUI KUPIKA KABISAAAAA.yaani kama unapenda kula kama mimi aisee umeingia cha kike.
 
Fatma Hana uchungu nazo Mana nahisi Ni mother house wale watu wa kuletewa
.Jessica I think anashiriki katika mchakato wa kupata noti hivyo ana displine na Pesa

Sasa hayo mavyakula yote so ufujaji wa hela au ndo uwaifu material ,Kama huo ndo uwaifu material Basi niondoeni

Kila kitu lazima kiwe na kiasi ,uwezi Pika mavyakula yote hayo kwenye familia ya watu watatu kabisa utakuwa ujielewi

Nitagieni yule kijana anaelalamikia mchumba mfujaji
 
Yeah kaka nitaoa kule nahisi mke wa pili nikijaaliwa.
Maana wana mapenzi mubashara maji ya kuoga wachemshiwa na iriki na karafuu ili unukie we umeshaona wapi haya kwa Wachaga ??
Chai wachemshiwa na mchai chai ,mdalasini,karafuu ukinywa ni rrahaa.
Viungo vitamu vya mapishi vyote asili yake mwambao wa pwani ww mwenyewe hubishi kaka.
Sawa ila mimi sioni umuhimu wa yote hayo, cha msingi chakula kiive na heshima iwepo hizo nyingine mbwembwe tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom