Guru la sheria, Halima Mdee na wenzie 18 wamelishinda baraza kuu la CHADEMA

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
933
2,810
Leo 11:25hrs 05/13/2022

Guru la Sheria nchini Tanzania,na Mwanasiasa nguli wa karne hii, Halima Mdee na magalacha wenzake 19 sasa wamefikia Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Baraza Kuu la Chadema likibakia phase III ya "the art of political war" kwa kuwafukuza wanachama nguli 19 ambao ni Asset,walishinda uchaguzi majimboni kwao kwa mujibu wa Chadema na kufikia chama kutokubaliana na matokeo yote ya Uchaguzi wa mwaka 2020.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alitangaza kuwavua nyazifa zote Uongozi wa juu wa Bawacha na Kamati Kuu kuazimia kwa kauli moja kuwavua Uanachama Wabunge 19 walioapishwa Bungeni kuwa wabunge wa Viti maalum kupitia Chadema na juzi Baraza kuu la Chadema likabariki kufukuzwa kwa wabunge 19 wa viti maalum Chadema.

Najua hata Tundu Lissu anaelewa vizuri athari ya kutokufuata principle kuu tatu katika maamuzi yoyote yaliyofikiwa na chombo chochote cha kiutawala kinachosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanywa hapo awali na kamati kuu ya Chadema na kubarikiwa sasa na baraza kuu la Chadema.

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS

Niseme tu Wabunge 19 wa Viti maalum kwa mujibu wa sheria kupitia Chadema kama wakienda mahakamani kwa ajili ya judicial review wanashinda asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi

Ukisoma vizuri theory ya aud alteram partem suala la kupewa muda wa kutosha wa kuandaa utetezi pale unapofikishwa kwenye judicial au quasi judicial ndio msingi wa hiyo rule,Hivyo basi kitendo cha wabunge 19 kuimba haki hiyo ya msingi tena kwa maandishi baada ya kufukuzwa uanachama ni goli la kwanza hasa kwa Wanawake wote nchini,tena ikiwa tupo katika zama za Wanawake.

Kuteuliwa kwao,kuapishwa halafu kamati kuu ya Chadema ikapinga,haikuwaita kwenda kujieleza na wao wakaamua ku mute bila hata ya kuwajibu sababu za kufanyika hiyo haki ambayo kimsingi hawakupaswa hata kuimba bali wangepewa,lakini kinyume chake Kamati Kuu ikakaa kwenye hotel ya kifahari wakajisikilizisha na kuandaa hukumu in absentia bila kuwepo wanaoitwa wakosaji,hili ni goli la pili,maamuzi ya kufukuzwa wabunge tafyekelewa mbali na mahakama asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi.

Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juu kwa kuwaita wao nikorona covid 19.

Kamati kuu ilipewa barua ya sababu,hivyo Kamati Kuu na Baraza kuu lilipaswa kuheshimu na iwe vumilivu,kwa kuwavua uanachama wakinamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote,ya Chama na kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kweli Chama chochote cha siasa kina autonomy ya kuendesha mambo kwa katiba ya chama,tunaweza kusema tuangalie katiba ya chama,kwa mfano tu, katiba ya chama Cha Chadema ikisema Mwenyekiti anaweza kumfukuza mwanachama yeyote bila mjadala, na wanachama wakakubali hilo na kujiunga na chama, siku Mwenyekiti akimfukuza mtu uanachama, bila mjadala, mwanachama hatakiwi kulalamika mahakamani,Maana aliikubali katiba ya chama,Sasa katiba ya chama inasemaje? Kama inasema hivi je huu si udikteta?

Kuhusu unlimited jurisdiction, tuchukue mfano kuichunguza unlimited jurisdiction,Mahakama kuu ina unlimited jurisdiction kwenye masuala ya judicial review pale ambapo mtu anakwenda kwake kudai haki msingi baada ya kuvunjwa na judicial au administrative body yoyote iliyokuwa inafanya quasi judicial function na ina aibu sana na haitaki kuwekewa kikwazo chochote cha derivative au oyster claws kama hili suala unalolisema la party autonomy,ila kwa suala hili la Wabunge 19,wakienda Mahakamani wanashinda asubuhi na Mapema tena saa mbili asubuhi.

Nimalizie kwa wabunge 19 wa Chadema kwa kusimamia misimamo yao kwamba walishinda uchaguzi kwa mujibu wa Chadema ila fitna na figisu kura hazikutosha na palipohitajika wabunge 19 wa viti maalum kupitia Chadema,wao kwa kuwa walishinda kwa mujibu wa Chadema basi walipaswa wapewe kipaumbele vinginevyo hawakushinda uchaguzi wa mwaka 2020,ila kama walishinda basi wao walistahili na sio yaletwe majina mengine ya wabunge 19 kutoka mifukoni mwa watu,

Hivi ni akina Mama gani watakiamini tena Chama Cha Chadema kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema? Ni majina nguli kabisa,magalacha, wakongwe waliokomaa ndani ya Chadema,kila mtanzania anawajua majina kama Halima Mdee,Grace Tendega, Ester Matiko, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnesta Kaiza, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa, Hawa Mwaifunga, Tunza Malapo, Felister Njau, Naghenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala, Stela Fiayo, Anatropia Theonest, Salome Makamba, Conchesta Rwamlaza na Asia Mohammed,Je mnataka wabunge awa waende UMOJA PARTY!? chama amabacho kinakwenda kutembea kwenye maono ya Hayati Rais John Magufuli.

Rafiki yangu toka Sierra Leone aliniambia,You Tanzanian need to have a Party to emmulate the late President John Magufuli visions"The late President John Pombe Magufuli was walking on the path of the Pan Africanist, standing on the shoulder of Martin Delany,Alexander Crummel,Edward Blyden,Dr William Du Bois,Dr Namdi Azikiwe,Marcus Garvey,Kwame Nkrumah,Haile Selassie,Robert Mugabe,Jomo Kenyatta,George Padmore, Julius Nyerere, Nelson Mandela,Oliver Tambo,Thomas Sankara,Patrice Lumumba and on the path of himself Dr John Pombe Magufuli,We,the people of Sierra Leone definitely would have been far if we could have a Leader like John Pombe Magufuli,a Solving Problem Leader who really wanted to change Tanzania for the better,you would have seen patriotism flowing in his blood in his vessels in his capillaries,the patriotism in him hit 120%

Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Nina wasiwasi kama una taaluma ya Sheria kama ulivyojaribu kujinasibu kwa law jargons hapo. Lakini vilevile kushindwa kubainisha ukosefu wa haki ya msingi ya kujitetea ambayo kihalisia walipewa kabla ya hukumu ya Kamati Kuu na bado wakapewa nafasi ya kujitetea mbele ya Baraza Kuu inaonesha namna usivuoelewa mchakato huu ulivyoendeshwa. Haikosi wewe ni wale mliopata Shahada kutoka Vyuo Uyoga vya karibuni na ambao mnafaulu kwa kudesa tuu.

Kukariri misemo ya Kilatini hakuifanyi hoja yako iwe na msingi wowote.

Ni aibu Tanzania ya leo kuwa na vijana wenye upeo duni wa kufikiri kama wako. Si ajabu tunapitwa na nchi nyingi katika maeneo ya ujengaji hoja kutokana na uduni wa Elimu yetu na uduni wa wasomi wetu kama huyu mtoa mada.

BTW: Zama za kuweka posti na namba ya simu ili ukumbukwe kwenye uteuzi zimeshapita. Tafuta namna nyingine ya kuitumia hiyo elimu yako duni ya biashara kujipatia kipato.
 
Hi sheria ulisomea chuo gani? Tatizo walitengeze wenyewe, wajipeleke wenyewe kuapishwa na bungeni pia wajipelekeshe, halafu waombe muda kujibu tuhuma za kugushi... wana tofauti gani na watu wa vyeti feki... wa vyeti feki wamenyamaza na pia inabidi pia kwa c.19... huwezi tengeneza tatizo halafu uwaambie watu ni tatizo lao na wakupe muda wa kujiandaa kufanya magumashi yako... hii kanuni haipo duniani humu... labda utusaidie kujibu....ingefaa zaidi wanyamaze na baada ya muda waombe radhi na kurudishwa kama yule foreign affairs wa mtwara ya Tanzania...
 
Unatuchosha wasomaji, mimi wakikatwa kichwa sawa hata wakiachwa sawa tu maana hakuna anayeleta mkate mezani kwangu
 
GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE NA MAGALACHA 18 WAMELISHINDA BARAZA KUU LA CHADEMA.

Leo 11:25hrs 05/13/2022

Guru la Sheria nchini Tanzania,na Mwanasiasa nguli wa karne hii, Halima Mdee na magalacha wenzake 19 sasa wamefikia Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Baraza Kuu la Chadema likibakia phase III ya "the art of political war" kwa kuwafukuza wanachama nguli 19 ambao ni Asset,walishinda uchaguzi majimboni kwao kwa mujibu wa Chadema na kufikia chama kutokubaliana na matokeo yote ya Uchaguzi wa mwaka 2020.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alitangaza kuwavua nyazifa zote Uongozi wa juu wa Bawacha na Kamati Kuu kuazimia kwa kauli moja kuwavua Uanachama Wabunge 19 walioapishwa Bungeni kuwa wabunge wa Viti maalum kupitia Chadema na juzi Baraza kuu la Chadema likabariki kufukuzwa kwa wabunge 19 wa viti maalum Chadema.

Najua hata Tundu Lissu anaelewa vizuri athari ya kutokufuata principle kuu tatu katika maamuzi yoyote yaliyofikiwa na chombo chochote cha kiutawala kinachosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanywa hapo awali na kamati kuu ya Chadema na kubarikiwa sasa na baraza kuu la Chadema.

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS

Niseme tu Wabunge 19 wa Viti maalum kwa mujibu wa sheria kupitia Chadema kama wakienda mahakamani kwa ajili ya judicial review wanashinda asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi

Ukisoma vizuri theory ya aud alteram partem suala la kupewa muda wa kutosha wa kuandaa utetezi pale unapofikishwa kwenye judicial au quasi judicial ndio msingi wa hiyo rule,Hivyo basi kitendo cha wabunge 19 kuimba haki hiyo ya msingi tena kwa maandishi baada ya kufukuzwa uanachama ni goli la kwanza hasa kwa Wanawake wote nchini,tena ikiwa tupo katika zama za Wanawake.

Kuteuliwa kwao,kuapishwa halafu kamati kuu ya Chadema ikapinga,haikuwaita kwenda kujieleza na wao wakaamua ku mute bila hata ya kuwajibu sababu za kufanyika hiyo haki ambayo kimsingi hawakupaswa hata kuimba bali wangepewa,lakini kinyume chake Kamati Kuu ikakaa kwenye hotel ya kifahari wakajisikilizisha na kuandaa hukumu in absentia bila kuwepo wanaoitwa wakosaji,hili ni goli la pili,maamuzi ya kufukuzwa wabunge tafyekelewa mbali na mahakama asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi.

Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juu kwa kuwaita wao nikorona covid 19.

Kamati kuu ilipewa barua ya sababu,hivyo Kamati Kuu na Baraza kuu lilipaswa kuheshimu na iwe vumilivu,kwa kuwavua uanachama wakinamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote,ya Chama na kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kweli Chama chochote cha siasa kina autonomy ya kuendesha mambo kwa katiba ya chama,tunaweza kusema tuangalie katiba ya chama,kwa mfano tu, katiba ya chama Cha Chadema ikisema Mwenyekiti anaweza kumfukuza mwanachama yeyote bila mjadala, na wanachama wakakubali hilo na kujiunga na chama, siku Mwenyekiti akimfukuza mtu uanachama, bila mjadala, mwanachama hatakiwi kulalamika mahakamani,Maana aliikubali katiba ya chama,Sasa katiba ya chama inasemaje? Kama inasema hivi je huu si udikteta?

Kuhusu unlimited jurisdiction, tuchukue mfano kuichunguza unlimited jurisdiction,Mahakama kuu ina unlimited jurisdiction kwenye masuala ya judicial review pale ambapo mtu anakwenda kwake kudai haki msingi baada ya kuvunjwa na judicial au administrative body yoyote iliyokuwa inafanya quasi judicial function na ina aibu sana na haitaki kuwekewa kikwazo chochote cha derivative au oyster claws kama hili suala unalolisema la party autonomy,ila kwa suala hili la Wabunge 19,wakienda Mahakamani wanashinda asubuhi na Mapema tena saa mbili asubuhi.

Nimalizie kwa wabunge 19 wa Chadema kwa kusimamia misimamo yao kwamba walishinda uchaguzi kwa mujibu wa Chadema ila fitna na figisu kura hazikutosha na palipohitajika wabunge 19 wa viti maalum kupitia Chadema,wao kwa kuwa walishinda kwa mujibu wa Chadema basi walipaswa wapewe kipaumbele vinginevyo hawakushinda uchaguzi wa mwaka 2020,ila kama walishinda basi wao walistahili na sio yaletwe majina mengine ya wabunge 19 kutoka mifukoni mwa watu,

Hivi ni akina Mama gani watakiamini tena Chama Cha Chadema kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema? Ni majina nguli kabisa,magalacha, wakongwe waliokomaa ndani ya Chadema,kila mtanzania anawajua majina kama Halima Mdee,Grace Tendega, Ester Matiko, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnesta Kaiza, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa, Hawa Mwaifunga, Tunza Malapo, Felister Njau, Naghenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala, Stela Fiayo, Anatropia Theonest, Salome Makamba, Conchesta Rwamlaza na Asia Mohammed,Je mnataka wabunge awa waende UMOJA PARTY!? chama amabacho kinakwenda kutembea kwenye maono ya Hayati Rais John Magufuli.

Rafiki yangu toka Sierra Leone aliniambia,You Tanzanian need to have a Party to emmulate the late President John Magufuli visions"The late President John Pombe Magufuli was walking on the path of the Pan Africanist, standing on the shoulder of Martin Delany,Alexander Crummel,Edward Blyden,Dr William Du Bois,Dr Namdi Azikiwe,Marcus Garvey,Kwame Nkrumah,Haile Selassie,Robert Mugabe,Jomo Kenyatta,George Padmore, Julius Nyerere, Nelson Mandela,Oliver Tambo,Thomas Sankara,Patrice Lumumba and on the path of himself Dr John Pombe Magufuli,We,the people of Sierra Leone definitely would have been far if we could have a Leader like John Pombe Magufuli,a Solving Problem Leader who really wanted to change Tanzania for the better,you would have seen patriotism flowing in his blood in his vessels in his capillaries,the patriotism in him hit 120%

Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Hizo Bachelors na masters labda za ujinga.
 
Nina wasiwasi kama una taaluma ya Sheria kama ulivyojaribu kujinasibu kwa law jargons hapo. Lakini vilevile kushindwa kubainisha ukosefu wa haki ya msingi ya kujitetea ambayo kihalisia walipewa kabla ya hukumu ya Kamati Kuu na bado wakapewa nafasi ya kujitetea mbele ya Baraza Kuu inaonesha namna usivuoelewa mchakato huu ulivyoendeshwa. Haikosi wewe ni wale mliopata Shahada kutoka Vyuo Uyoga vya karibuni na ambao mnafaulu kwa kudesa tuu.

Kukariri misemo ya Kilatini hakuifanyi hoja yako iwe na msingi wowote.

Ni aibu Tanzania ya leo kuwa na vijana wenye upeo duni wa kufikiri kama wako. Si ajabu tunapitwa na nchi nyingi katika maeneo ya ujengaji hoja kutokana na uduni wa Elimu yetu na uduni wa wasomi wetu kama huyu mtoa mada.

BTW: Zama za kuweka posti na namba ya simu ili ukumbukwe kwenye uteuzi zimeshapita. Tafuta namna nyingine ya kuitumia hiyo elimu yako duni ya biashara kujipatia kipato.
Huyo siyo msomi. Kalishwa na kulewa matango poli huyo. Tatizo ni "punctuated education" aliyonayo.
 
Niliposoma tu hii sentensi “kwa kuwafukuza wanachama nguli 19 ambao ni Asset, walishinda uchaguzi majimboni kwao“ sikutaka tena kuendelea kusoma.
 
20220509_133747.jpg
 
GURU LA SHERIA,HALIMA MDEE NA MAGALACHA 18 WAMELISHINDA BARAZA KUU LA CHADEMA.

Leo 11:25hrs 05/13/2022

Guru la Sheria nchini Tanzania,na Mwanasiasa nguli wa karne hii, Halima Mdee na magalacha wenzake 19 sasa wamefikia Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10 za Communist party of China,wakati Baraza Kuu la Chadema likibakia phase III ya "the art of political war" kwa kuwafukuza wanachama nguli 19 ambao ni Asset,walishinda uchaguzi majimboni kwao kwa mujibu wa Chadema na kufikia chama kutokubaliana na matokeo yote ya Uchaguzi wa mwaka 2020.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alitangaza kuwavua nyazifa zote Uongozi wa juu wa Bawacha na Kamati Kuu kuazimia kwa kauli moja kuwavua Uanachama Wabunge 19 walioapishwa Bungeni kuwa wabunge wa Viti maalum kupitia Chadema na juzi Baraza kuu la Chadema likabariki kufukuzwa kwa wabunge 19 wa viti maalum Chadema.

Najua hata Tundu Lissu anaelewa vizuri athari ya kutokufuata principle kuu tatu katika maamuzi yoyote yaliyofikiwa na chombo chochote cha kiutawala kinachosikiliza kesi kwa kufuata kanuni za haki na madhara ya kutozifuata hizo kanuni kama ilivyofanywa hapo awali na kamati kuu ya Chadema na kubarikiwa sasa na baraza kuu la Chadema.

1. NEMO JUDEX INCAUSA SUA

2.AUDI ALTERAM PARTEM

3.NULUM ARBITRIUM SINE RATIONIBUS

Niseme tu Wabunge 19 wa Viti maalum kwa mujibu wa sheria kupitia Chadema kama wakienda mahakamani kwa ajili ya judicial review wanashinda asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi

Ukisoma vizuri theory ya aud alteram partem suala la kupewa muda wa kutosha wa kuandaa utetezi pale unapofikishwa kwenye judicial au quasi judicial ndio msingi wa hiyo rule,Hivyo basi kitendo cha wabunge 19 kuimba haki hiyo ya msingi tena kwa maandishi baada ya kufukuzwa uanachama ni goli la kwanza hasa kwa Wanawake wote nchini,tena ikiwa tupo katika zama za Wanawake.

Kuteuliwa kwao,kuapishwa halafu kamati kuu ya Chadema ikapinga,haikuwaita kwenda kujieleza na wao wakaamua ku mute bila hata ya kuwajibu sababu za kufanyika hiyo haki ambayo kimsingi hawakupaswa hata kuimba bali wangepewa,lakini kinyume chake Kamati Kuu ikakaa kwenye hotel ya kifahari wakajisikilizisha na kuandaa hukumu in absentia bila kuwepo wanaoitwa wakosaji,hili ni goli la pili,maamuzi ya kufukuzwa wabunge tafyekelewa mbali na mahakama asubuhi na mapema tena saa mbili asubuhi.

Maaamuzi ya kikao hicho nibatiri maana walengwa hawakupata mda wa kujieleza. Na sababu za kutokufika kwao ni sahihi kwa kua walitishiwa na matamushi ya viongozi wao. Pili eneo la mkutano halikua salama kwao kwakua kulijitokeza kikundi cha waandamanaji walioshika mabango yenye matusi juu kwa kuwaita wao nikorona covid 19.

Kamati kuu ilipewa barua ya sababu,hivyo Kamati Kuu na Baraza kuu lilipaswa kuheshimu na iwe vumilivu,kwa kuwavua uanachama wakinamama hao nikuwaonea kwa mjibu wa katiba zote,ya Chama na kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kweli Chama chochote cha siasa kina autonomy ya kuendesha mambo kwa katiba ya chama,tunaweza kusema tuangalie katiba ya chama,kwa mfano tu, katiba ya chama Cha Chadema ikisema Mwenyekiti anaweza kumfukuza mwanachama yeyote bila mjadala, na wanachama wakakubali hilo na kujiunga na chama, siku Mwenyekiti akimfukuza mtu uanachama, bila mjadala, mwanachama hatakiwi kulalamika mahakamani,Maana aliikubali katiba ya chama,Sasa katiba ya chama inasemaje? Kama inasema hivi je huu si udikteta?

Kuhusu unlimited jurisdiction, tuchukue mfano kuichunguza unlimited jurisdiction,Mahakama kuu ina unlimited jurisdiction kwenye masuala ya judicial review pale ambapo mtu anakwenda kwake kudai haki msingi baada ya kuvunjwa na judicial au administrative body yoyote iliyokuwa inafanya quasi judicial function na ina aibu sana na haitaki kuwekewa kikwazo chochote cha derivative au oyster claws kama hili suala unalolisema la party autonomy,ila kwa suala hili la Wabunge 19,wakienda Mahakamani wanashinda asubuhi na Mapema tena saa mbili asubuhi.

Nimalizie kwa wabunge 19 wa Chadema kwa kusimamia misimamo yao kwamba walishinda uchaguzi kwa mujibu wa Chadema ila fitna na figisu kura hazikutosha na palipohitajika wabunge 19 wa viti maalum kupitia Chadema,wao kwa kuwa walishinda kwa mujibu wa Chadema basi walipaswa wapewe kipaumbele vinginevyo hawakushinda uchaguzi wa mwaka 2020,ila kama walishinda basi wao walistahili na sio yaletwe majina mengine ya wabunge 19 kutoka mifukoni mwa watu,

Hivi ni akina Mama gani watakiamini tena Chama Cha Chadema kisichothamini mchango mkubwa walioutoa wale wabunge 19 wa viti maalum wa Chadema? Ni majina nguli kabisa,magalacha, wakongwe waliokomaa ndani ya Chadema,kila mtanzania anawajua majina kama Halima Mdee,Grace Tendega, Ester Matiko, Cecilia Pareso, Ester Bulaya, Agnesta Kaiza, Nusrat Hanje, Jesca Kishoa, Hawa Mwaifunga, Tunza Malapo, Felister Njau, Naghenjwa Kaboyoka, Sophia Mwakagenda, Kunti Majala, Stela Fiayo, Anatropia Theonest, Salome Makamba, Conchesta Rwamlaza na Asia Mohammed,Je mnataka wabunge awa waende UMOJA PARTY!? chama amabacho kinakwenda kutembea kwenye maono ya Hayati Rais John Magufuli.

Rafiki yangu toka Sierra Leone aliniambia,You Tanzanian need to have a Party to emmulate the late President John Magufuli visions"The late President John Pombe Magufuli was walking on the path of the Pan Africanist, standing on the shoulder of Martin Delany,Alexander Crummel,Edward Blyden,Dr William Du Bois,Dr Namdi Azikiwe,Marcus Garvey,Kwame Nkrumah,Haile Selassie,Robert Mugabe,Jomo Kenyatta,George Padmore, Julius Nyerere, Nelson Mandela,Oliver Tambo,Thomas Sankara,Patrice Lumumba and on the path of himself Dr John Pombe Magufuli,We,the people of Sierra Leone definitely would have been far if we could have a Leader like John Pombe Magufuli,a Solving Problem Leader who really wanted to change Tanzania for the better,you would have seen patriotism flowing in his blood in his vessels in his capillaries,the patriotism in him hit 120%

Nikiwa Mbobezi wa masuala ya kiutawala,niwaambie Chadema kwamba failure kubwa sana ndani ya Chadema ni ile ya kutokuwa na conflict resolution strategies nzuri,ndiyo maana imekuwa inamegeka vipande kidogo kidogo, Timu ya Samson Mwigamba, Zitto kabwe na Kitila Mkumbo ilianza kumegeka, halafu ikaja timu ya Daktari Wilbroad Slaa, na pigo kubwa likawa ni lile la timu ya Mh Edward Lowassa na Mh Frederick Sumaye,Sasa litakuja hili la timu ya Baraza la Wanawake wa Chadema, Bawacha,

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Naona Pasco Malaya umekuja kwa I'd nyingine
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom