The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 2,997
- 4,166
Siasa za tz ni zaajabu utakuta mtu anapiga kelele hapa alaf lowasa anatoka ccm anaenda chadema na anapewa cheo ambacho Leslie Mbena angestahili kupewa, kutokana na jitihada zake kwenye majukwaa kama haya, vivyo hivyo kwaupande wa pili..