Guninnita & W.LUKUVI Mnakumbuka Mlivyoiua Miradi ya Mabasi ya shule

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Ndugu wanancchi nimeona tukumbushane wa wale waliokuwa awajazaliwa..Dar es salaam tulikuwa na tatizo kubwa la Usafir wa wanafunzi...mwisho wa siku wafadhali wakajitokeza sana kuleta mabasi...ambayo mpaka leo nasikitika kuona watu hao hao bado madarakani.....kweli CCM imejaa wasanii watupu....
Mh GUNNINITA bado ijapata kuelewa ujasiri wa kumnyooshea spika sitta uliupata wapi...wakati ukimnyon=shea mwenzako unakumbuka jinsi m;ivyoitafuna miradi ya MABASI ya wanafunzi na wenzako uliochangiwa fedha nyingi sana.....??na kukabidhiwa UVCCM wakati huo weye ulikuwa mwenyekiti wa umoja huo.....
Hakika mi binafsi nakuombea heri lakini bado najiuliza uko ulipoanza shule unaa mema na nchii kweli...maana ukiwa unashule uliweza kutafuna kiasi hicho na mwenzako lukuvi mkijua hmtakuwa na watoto watakaozaa na kwenda shule...si vibaya kukaa amoja na kuomba TOBA kwa uchafu ama ufisadi mlioufanya.....najiuliza ungekuwa na degree mh si ungewapasua uko BOT....kama huna akili nzuri....

kaeni chini wakati mkijifikiria jueni bado tunawakumbuka kwa uchafu wenu unaofanya watoto wetu leo hii wanafika shule masaa 3 baada ya muda wa shule kuanza....sidhani kama mliliangalia hili...zaidi ya kujua kuuua ule mradi na kununua maari yenu ya kifahari......
Binafsi sioni tofauti yenu na mafataki wa haki za watoto
 
Sijui ni nani wa kumakamata haswa kuhusiana na ule mradi ambo tuliuchangia pesa nying sana. Nakumbuka kuwa wakati huo Guninita alikuwa mwenyekiti wa UVCCM wa Taifa na Masaburi alikuwa mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam. Nadhani mradi ule uliliwa zaidi na akina Masaburi kwa vile ulikuwa chini yao.
 
Ndugu yangu wakati wakina rostam walikuwa wanasubiri EPA hawa mabwana walitakiwa kufikishwa mapema mbele ya mahakama kabla ya kuona mapapa wakiingia mule....,jamani hili si swala la kuchekesha bali ni huzuni kubwa kama unapata nafasi ya kuwaona watoto vituoni unaweza kuogopa kuzaa......sasa basi kwa nini huu upuuzi tuupuzie ....tunaitaji kujua nani alihusika na kwa nini wasishtakiwe....yale mabasi yangekuwapo hiivi leo tusingerumbana na madaladala kuongezewa nauli oohh asisimame....mi nakumbuka walianza kuwabeba watoto wakaishia kuanza kubeba watu wazima na kusahau umuhimu wa mradi ulioleta yale mabasi....ndugu hapo ndipo lukuvi alipotokea......sasa bado najiuliza huyu ndugu yetu lengo lake kuanza sekondari umri huu ni jema kweli ....tutaweza kupona kama aliweza kutumaliza hata sekondari ajafika....duhh

Naipenda nchi yangu
 
mtumishi hapo ndipo ninapojiuliza hili swala la huyu bwana kuomba kuanza kusoma ana wazia mema kweli jamii ya tanzania??????
 
sasa hao ndio wakuu wa Dar es Salaam na muda si mrefu watatafuta ukuu wa nchi hii. kama nchi imeshikwa na mafataki pande zote, nani atapona? katika hili pia msimsahau kikagula Nchimbi! hofu yangu ni kuwa haya mambo mazuri kiasi hiki huishia hapa hapa kwenye maoni mtandaoni. wakati umefika wa kuingia mitaani kuwakataa wahujumu hawa wakubwa wa uchumi na taifa kwa ujumla. maandamano huanza na mtu mmoja. kisha lengo hutimia kwa sauti za wengi kuwa sauti ya umma. tuanze sasa.

thumni yangu
 
Mh GUNNINITA bado ijapata kuelewa ujasiri wa kumnyooshea spika sitta uliupata wapi...wakati ukimnyon=shea mwenzako unakumbuka jinsi m;ivyoitafuna miradi ya MABASI ya wanafunzi na wenzako uliochangiwa fedha nyingi sana.....??na kukabidhiwa UVCCM wakati huo weye ulikuwa mwenyekiti wa umoja huo.....

Ule mradi ulianzishwa na Umoja wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam na mhusika mkuu wakati ule miaka ya 1989/90 alikuwa Didas Masaburi (Dr?). Wakati ule Guninita alikuwa mwnyekiti wa vijana Taifa, sijui kama utamhukumu kwa vijimradi vyote vya umoja wa vijana vilivyotafunwa na watu wa chini yake?
 
Nacho tumainia tu ni kwamba acha miaka iende irudi one day CCM itaondolewa tu madarakani na hapo ndo mahali pazuri pa kuwapa kisago wajukuu wa akina makamba et al.
 
Ndugu wanancchi nimeona tukumbushane wa wale waliokuwa awajazaliwa..Dar es salaam tulikuwa na tatizo kubwa la Usafir wa wanafunzi...mwisho wa siku wafadhali wakajitokeza sana kuleta mabasi...ambayo mpaka leo nasikitika kuona watu hao hao bado madarakani.....kweli CCM imejaa wasanii watupu....
Mh GUNNINITA bado ijapata kuelewa ujasiri wa kumnyooshea spika sitta uliupata wapi...wakati ukimnyon=shea mwenzako unakumbuka jinsi m;ivyoitafuna miradi ya MABASI ya wanafunzi na wenzako uliochangiwa fedha nyingi sana.....??na kukabidhiwa UVCCM wakati huo weye ulikuwa mwenyekiti wa umoja huo.....
Hakika mi binafsi nakuombea heri lakini bado najiuliza uko ulipoanza shule unaa mema na nchii kweli...maana ukiwa unashule uliweza kutafuna kiasi hicho na mwenzako lukuvi mkijua hmtakuwa na watoto watakaozaa na kwenda shule...si vibaya kukaa amoja na kuomba TOBA kwa uchafu ama ufisadi mlioufanya.....najiuliza ungekuwa na degree mh si ungewapasua uko BOT....kama huna akili nzuri....

kaeni chini wakati mkijifikiria jueni bado tunawakumbuka kwa uchafu wenu unaofanya watoto wetu leo hii wanafika shule masaa 3 baada ya muda wa shule kuanza....sidhani kama mliliangalia hili...zaidi ya kujua kuuua ule mradi na kununua maari yenu ya kifahari......
Binafsi sioni tofauti yenu na mafataki wa haki za watoto

Ingawaje hoja husika imenikumbusha sononi la muda mrefu la ubadhirifu wa UV-CCM lkn sikubaliani na hoja husika hasa ya kumpa lawama Mweneykiti wa Taifa wa CCM wa Vijana enzi hizo Guninita;ukweli ni kuwa aliyetafuna pesa zile ni Didas Masaburi na kama kungekuwan na utawala wa kisheria siku nyingi jamaa angekuwa yupo Ukonga!

Ni habari ya ukweli lkn kwa maoni yangu imekosewa kwa aliyetafuna pesa;ni kama tu mkanganyiko wa jamhuri dhidi ya makosa ya ukweli aliyotenda kamanda Zombe !!
 
ndugu wanancchi nimeona tukumbushane wa wale waliokuwa awajazaliwa..dar es salaam tulikuwa na tatizo kubwa la usafir wa wanafunzi...mwisho wa siku wafadhali wakajitokeza sana kuleta mabasi...ambayo mpaka leo nasikitika kuona watu hao hao bado madarakani.....kweli ccm imejaa wasanii watupu....
Mh gunninita bado ijapata kuelewa ujasiri wa kumnyooshea spika sitta uliupata wapi...wakati ukimnyon=shea mwenzako unakumbuka jinsi m;ivyoitafuna miradi ya mabasi ya wanafunzi na wenzako uliochangiwa fedha nyingi sana.....??na kukabidhiwa uvccm wakati huo weye ulikuwa mwenyekiti wa umoja huo.....
Hakika mi binafsi nakuombea heri lakini bado najiuliza uko ulipoanza shule unaa mema na nchii kweli...maana ukiwa unashule uliweza kutafuna kiasi hicho na mwenzako lukuvi mkijua hmtakuwa na watoto watakaozaa na kwenda shule...si vibaya kukaa amoja na kuomba toba kwa uchafu ama ufisadi mlioufanya.....najiuliza ungekuwa na degree mh si ungewapasua uko bot....kama huna akili nzuri....

Kaeni chini wakati mkijifikiria jueni bado tunawakumbuka kwa uchafu wenu unaofanya watoto wetu leo hii wanafika shule masaa 3 baada ya muda wa shule kuanza....sidhani kama mliliangalia hili...zaidi ya kujua kuuua ule mradi na kununua maari yenu ya kifahari......
Binafsi sioni tofauti yenu na mafataki wa haki za watoto
kweli wakazi wa dar es salaam tunabahati mbaya tumemkosea nini mungu,hebu angalia kwenye halmashauri zetu tatu,abasi anafanya nini,londa na viwanja,mkuu wa mkoa mkuu wa ccm wote wizi mtupu yarabi dar haina mwenyewe
 
ingawaje hoja husika imenikumbusha sononi la muda mrefu la ubadhirifu wa uv-ccm lkn sikubaliani na hoja husika hasa ya kumpa lawama mweneykiti wa taifa wa ccm wa vijana enzi hizo guninita;ukweli ni kuwa aliyetafuna pesa zile ni didas masaburi na kama kungekuwan na utawala wa kisheria siku nyingi jamaa angekuwa yupo ukonga!

Ni habari ya ukweli lkn kwa maoni yangu imekosewa kwa aliyetafuna pesa;ni kama tu mkanganyiko wa jamhuri dhidi ya makosa ya ukweli aliyotenda kamanda zombe !!
kwani jeshi letu la polisi haliwezi kuifufua hii kesi lazima pesa za mabasi ya waoto zirudishwe watoto wanateseka sana
 
kwani jeshi letu la polisi haliwezi kuifufua hii kesi lazima pesa za mabasi ya waoto zirudishwe watoto wanateseka sana

Hili jeshi haliwezi kufufua kesi kama hiyo kwa sababu linatekeleza ilani ya Chama Cha Mafisadi.
 
Tume huru! Hawa hakuna na wauaji sasa wamekuja na mabomu mapya! Bado nipo pale pale hili ni wazo la dca madereva na makonda wa umoja wa dar mlandizi hebu tuwaachie hawa maana akina uvvccm ni wale wale waliokula pesa za mwanzo leo tena mkuu pinda unatuomba tuwape wale wale! Jamani mkuu umedanganywa na ninavyo kujua ulivyo mkali na makini hebu washughulikie kwanza hawa watu waliokuita ili waseme mabasi yale ya nyuma yapo wapi??? Na kama yalikufa basi hivyo vyuma chakavu waliviuza wapi??? Na hiyo pesa ipo wapi kwa sasa!

Crdb ni njia tu ya kuingilia hamna uchungu wowote ni chombo tu cha pesa cha kutumiwa kama hawa watu wa dca walifika na hata kuomba mkopo wa mabasi ya shule je kilichowashinda ninyi kuwapa ni nini leo hii umetoa bure tena kwa shirika mfu na lenye records mbovu toka siku nyingi msitudanganyi kimei angalia utachafuliwa sasa hivi wewe fungua matawi zaidi na endelea na mikopo kwa wakulima ni nyanja nzuri na umeonyesha umahili sana kuwasaidia wakulima achana na hawa wafanyi biashara wakwaopuaji tu!

Tunaumia watanzania juu ya watoto wetu
 
Back
Top Bottom