wewe hujuwi kuwa maalim Seif ni mtoto wa Baba Wa Taifa hili Mwalim Nyerere?Lazima avae Suti ya kijamaa.Mimi naona hapo wote wamevaa suti na tai kasoro maalim Seif yeye kavaa kaunda suti aka suti ya kijamaa.
Na ndio alikuwa anataka hivyo.seif naona anafurahia kuwa kwenye system sasa hivi
wewe hujuwi kuwa maalim Seif ni mtoto wa Baba Wa Taifa hili Mwalim Nyerere?Lazima avae Suti ya kijamaa.
Huyo si Balal...................ooooh shit...............sorry.....ni Bilal makamu wa raisi!!Mwenye mawami alokaa na Hamad ni nani? anafanana na michuzi