Gundua tofauti katika picha hii

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,752
196
Unaweza kugundu ni nani aliyetia doa hapa

DSC_1991.JPG
 
Hii ndo serilkali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Mimi naona hapo wote wamevaa suti na tai kasoro maalim Seif yeye kavaa kaunda suti aka suti ya kijamaa.
 
Wanne wanachelekea mafisadi lakini wawili wanaonekana hawana mchezo wako serious.
 
ccm "a" watano, ccm "b" mmoja
ccm a&b wako hai, exccm mmoja ameshafariki (angalia anayening'inia ukutani juu).
 
sioni tofauti kubwa ..............................................lol (rangi ya tai na miwani ndo tofauti )lol
na mwalimu J.K Nyerere amekaa juu zaidi.
 
Nadhani doa inawezekana ni:

miwani ya jua ndani ya nyumba
au
MKPP ni tofauti
 
Mimi naona Dr Bilal hataki kabisa kumsogelea Mahalim Seif Sharif kaweka mpaka na mkono wa kusho na shingo kaielekeza kulia kwake
 
Wote mmenoa aliye tofauti ni Maalim Seif Wenzake wamevaa Suti Nyesi au Dark Blue na shati jeupe wakati yeye kavalia shati jeusi ndani ya suti?????????? Nipigieni makofi basi maana mimi peke yangu ndiye niliyepatia!!!!
 
Wote mmenoa aliye tofauti ni Maalim Seif Wenzake wamevaa Suti Nyesi au Dark Blue na shati jeupe wakati yeye kavalia shati jeusi ndani ya suti nyeusi wapi na wapi ?????????? Nipigieni makofi basi maana mimi peke yangu ndiye niliyepatia!!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom