Guinea: Jeshi kuanza kufungua Mipaka

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Jeshi Nchini Guinea limetangaza mchakato wa kufungua taratibu Mipaka na Nchi jirani ambayo baadhi ilifungwa baada ya Rais Alpha Conde kupinduliwa na mingine ilikuwa imefungwa miezi kabla

Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Rais Conde aliamuru Mipaka ya Senegal, Sierra Leone na Guinea-Bissau kufungwa kwasababu za kiusalama

Imeelezwa, Mpaka wa Guinea na Sierra Leone utafunguliwa Septemba 15, 2021 na ule wa Liberia Septemba 16, 2021. Katika siku zinazofuata mingine itakayofunguliwa ni ya Ivory Coast, Mali na Guinea-Bissau

======

The military junta in Conakry has announced the gradual reopening of borders with neighbouring countries in a statement read on national TV.

Some of the borders have been closed since last week’s coup and others for months beforehand.

The Senegal, Sierra Leone and Guinea-Bissau borders were ordered closed by President Alpha Condé in September 2020, for security reasons, before the 18 October presidential election.

Mr Condé also denounced attempts to destabilise Guinea by using the territory of neighbouring countries.

This closure caused diplomatic tension given the significant movement of people and goods in the region.

The border with Sierra Leone is scheduled to reopen on Wednesday.

The one with Liberia will reopen on Thursday, Ivory Coast's on Friday, Mali's on Saturday, Guinea-Bissau's on Monday and Senegal's on Friday next week.

Source: BBC
 
VIPI HUKU KWETU, ?? LINI MEZA ITAPINDULIWA ???

MAANA HII NI SERIKALI GANI AMBAYO RAISI HANA KAULI , ANAONGEA KAMA ANAOMBA ,CJUI KUTONGOZA
CJUI NN AMA NINI

ZIMA!!
 
VIPI HUKU KWETU, ?? LINI MEZA ITAPINDULIWA ???

MAANA HII NI SERIKALI GANI AMBAYO RAISI HANA KAULI , ANAONGEA KAMA ANAOMBA ,CJUI KUTONGOZA
CJUI NN AMA NINI

ZIMA!!
Hilo Jambazi Mamady Doumbouya muda wowote litapigwa chini
 
Back
Top Bottom