Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,219
- 1,785
Nina modem ya alcatel X230E ya airtel ambayo ipo locked. Nilikuwa nahitaji ku-unlock. IMEI ni 867612003915398 Mwenye Idea anakaribishwa.
"Thanks In Advance"
Nina modem ya alcatel X230E ya airtel ambayo ipo locked. Nilikuwa nahitaji ku-unlock. IMEI ni 867612003915398 Mwenye Idea anakaribishwa."Thanks In Advance"
Fuata hatua zifuatazoNina modem ya alcatel X230E ya airtel ambayo ipo locked. Nilikuwa nahitaji ku-unlock. IMEI ni 867612003915398 Mwenye Idea anakaribishwa."Thanks In Advance"
Nashukuru Sir. Modem imekubali.
Mimi modem yangu ya Vodacom nataka kuunlock pia nifanyaje mkuu.
Modem yangu ni vodacom HUAWEI MOBILE BROADBAND E 303.
- Modem yako ya voda yaweza kuwa ni HUAWEI au ZTE, Je ni model ipi?
- Andika hivi Modem yangu ni (mfano) HUAWEI E303, HUAWEI E303s hiLINK au ZTE MF190
- Ndipo utaweza pata msaada stahili.
- Karibu
Modem yangu ni vodacom HUAWEI MOBILE BROADBAND E 303. msaada mkuu. heri ya mwaka mpya
- Modem yako ya voda yaweza kuwa ni HUAWEI au ZTE, Je ni model ipi?
- Andika hivi Modem yangu ni (mfano) HUAWEI E303, HUAWEI E303s hiLINK au ZTE MF190
- Ndipo utaweza pata msaada stahili.
- Karibu
Mkuu ya kwangu ni ec122 ni ya zantel nataka iwe inaingia laini zote msaada mkuu
- Hiyo kitu ni CDMA , Haitowezekana kuweka laini tofauti na mtandao wa CDMA
- Ingia google na jifunze kuhusu
- CDMA modem
- GSM modem
- Karibu
Nimepata kastory wanasema kuiflash inawezekana. Yes ni cdma1x evdo
- Je umepanga kutumia laini gani katika hiyo modem?
Nadhani atatumia TTCL Au sasatel
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
habari ndugu wana jf
naomba msaada wa ku unlock modem ya aitel huawei model E 153U -2, IMEI 357289043242708
tafadhari sana mwenye utaalam anipe link na maelekezo.
- Je umepanga kutumia laini gani katika hiyo modem?
Tigo au airtel