Guide: ku-Unlock alcatel x230E airtel modem

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,219
1,785
Nina modem ya alcatel X230E ya airtel ambayo ipo locked. Nilikuwa nahitaji ku-unlock. IMEI ni 867612003915398 Mwenye Idea anakaribishwa.
"Thanks In Advance"
 
Nina modem ya alcatel X230E ya airtel ambayo ipo locked. Nilikuwa nahitaji ku-unlock. IMEI ni 867612003915398 Mwenye Idea anakaribishwa.
"Thanks In Advance"

Hamna free codes za hiyo kitu mkuu labda kama unafmiana na fundi simu atakufanyia mishe utazipata bure vinginevyo lazima utoe chochote.

Kuna mtu anajiita Brakelyn humu JF ndo huwa anawasaidia watu lkn anajibu ater 1 month ndo anakupa free codes.
 
Nina modem ya alcatel X230E ya airtel ambayo ipo locked. Nilikuwa nahitaji ku-unlock. IMEI ni 867612003915398 Mwenye Idea anakaribishwa.
"Thanks In Advance"
Fuata hatua zifuatazo

>> Weka laini tofauti kwenye modem yako
>> Itakuomba NCK unlock codes
>> Chukua codes zifuatazo
>> Tumia hizo kwenye RED

IMEI: 867612003915398 Codes:

NCK: 2354240225

NSCK: 4994768442
SPCK: 8012015031

>> Karibu
 
Mimi modem yangu ya Vodacom nataka kuunlock pia nifanyaje mkuu.
 
Mimi modem yangu ya Vodacom nataka kuunlock pia nifanyaje mkuu.
  • Modem yako ya voda yaweza kuwa ni HUAWEI au ZTE, Je ni model ipi?
  • Andika hivi Modem yangu ni (mfano) HUAWEI E303, HUAWEI E303s hiLINK au ZTE MF190
  • Ndipo utaweza pata msaada stahili.
  • Karibu
 
  • Modem yako ya voda yaweza kuwa ni HUAWEI au ZTE, Je ni model ipi?
  • Andika hivi Modem yangu ni (mfano) HUAWEI E303, HUAWEI E303s hiLINK au ZTE MF190
  • Ndipo utaweza pata msaada stahili.
  • Karibu
Modem yangu ni vodacom HUAWEI MOBILE BROADBAND E 303.

Msaada mkuu. heri ya mwaka mpya
 
  • Modem yako ya voda yaweza kuwa ni HUAWEI au ZTE, Je ni model ipi?
  • Andika hivi Modem yangu ni (mfano) HUAWEI E303, HUAWEI E303s hiLINK au ZTE MF190
  • Ndipo utaweza pata msaada stahili.
  • Karibu

Mkuu ya kwangu ni ec122 ni ya zantel nataka iwe inaingia laini zote msaada mkuu.
 
Mkuu ya kwangu ni ec122 ni ya zantel nataka iwe inaingia laini zote msaada mkuu
  • Hiyo kitu ni CDMA , Haitowezekana kuweka laini tofauti na mtandao wa CDMA
  • Ingia google na jifunze kuhusu
    • CDMA modem
    • GSM modem
  • Karibu
 
Mkuu umetisha maana hii modem ya alcatel nilikuwa nayo nikajaribu kuunlock waaaapi.nkaiuza bana, plz plz plz tunaomba step by step namna ya kuikoroga iive mitandao yote utakuwa the real savior maana wengi wanatupa caluculator bila maelezo plz okoa jahazi lishatoboka mkuu Mwl.RCT,.
 
  • Hiyo kitu ni CDMA , Haitowezekana kuweka laini tofauti na mtandao wa CDMA
  • Ingia google na jifunze kuhusu
    • CDMA modem
    • GSM modem
  • Karibu

Nimepata kastory wanasema kuiflash inawezekana. Yes ni cdma1x evdo
 
Habari ndugu wana JF,

Naomba msaada wa ku unlock modem ya aitel huawei model E 153U -2, IMEI 357289043242708 tafadhari sana mwenye utaalam anipe link na maelekezo.
 
Back
Top Bottom