Guest za Uswahilin Najuta.....

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Jana nilitoka Tanga nikachelewa kufika dar,home kinyerez ndani zaid nikaona nienda magomeni kagera karibu na Friends conner Hotel kuna mlolongo wa Nyumba za wageni.
Nikiwa ndani kwa kweli nilishindwa kulala:
nasikia sauti:-aaa mi staki,staki huko sijazoea,naumi.
Mmmh akili ikahama ghafla ikanibidi nickilize kwa makini sana,sauti ilikuwa kubwa ukizingatia ni chumba kinafuatia,mara sauti zikakata,ikaanza minong'ono ya
ku-make love huku nikiwa nackia kila kitu jambo lilofanya antena yangu isimame pasipo na TV wala Umeme.
Kadir muda ulivyozidi sauti zilikuwa zikiongezeka namimi hali kwangu inakuwa mbaya.
Mara yule bint akaanza bac sitaki tena nitazoea vibaya.
Ikanibidi nizuge kwenda kukaa nje maana hali kwngu ilishakuwa mbaya.
Baada ya nusu saa nikarudi nakutana na wapendanao hao wanakwenda kuonga.
Du yule binti ana umri usiozidi miaka 19 yule bwana ni zaidi ya 45 huku akiwa amejazia misuli kama mbeba vyuma.
Jamani hivi huyu ni zaidi ya mwanae tena walionesha kufahamiana muda mrefu.
Wakati nataka kufungua mlango namuona dada anatoka mlango wa tano kutoka kwangu akiwa na kataulo kafupi akikimbilia kwangu huku akiniomba aingie.
Mmmmh we dada vipi nikimwangali ni mtu mzima.
Vipi iweje ukimbie leba wakati unataka mtoto?
Nikafunga mlango wangu nikamwacha nje.
Du hizi guest za uswahilini.
 
Gesti nyingi bongo ni madanguro yaliyojivika sura ya nyumba za wageni. Inatia kinyaa kwa kweli.
 
Ukweli nilivumilia sana hadu uumd unauma du.
Kazi ya jana siwez sahau
 
Jana nilitoka Tanga nikachelewa kufika dar,home kinyerez ndani zaid nikaona nienda magomeni kagera karibu na Friends conner Hotel kuna mlolongo wa Nyumba za wageni.
Nikiwa ndani kwa kweli nilishindwa kulala:
nasikia sauti:-aaa mi staki,staki huko sijazoea,naumi.
Mmmh akili ikahama ghafla ikanibidi nickilize kwa makini sana,sauti ilikuwa kubwa ukizingatia ni chumba kinafuatia,mara sauti zikakata,ikaanza minong'ono ya
ku-make love huku nikiwa nackia kila kitu jambo lilofanya antena yangu isimame pasipo na TV wala Umeme.
Kadir muda ulivyozidi sauti zilikuwa zikiongezeka namimi hali kwangu inakuwa mbaya.
Mara yule bint akaanza bac sitaki tena nitazoea vibaya.
Ikanibidi nizuge kwenda kukaa nje maana hali kwngu ilishakuwa mbaya.
Baada ya nusu saa nikarudi nakutana na wapendanao hao wanakwenda kuonga.
Du yule binti ana umri usiozidi miaka 19 yule bwana ni zaidi ya 45 huku akiwa amejazia misuli kama mbeba vyuma.
Jamani hivi huyu ni zaidi ya mwanae tena walionesha kufahamiana muda mrefu.
Wakati nataka kufungua mlango namuona dada anatoka mlango wa tano kutoka kwangu akiwa na kataulo kafupi akikimbilia kwangu huku akiniomba aingie.
Mmmmh we dada vipi nikimwangali ni mtu mzima.
Vipi iweje ukimbie leba wakati unataka mtoto?
Nikafunga mlango wangu nikamwacha nje.
Du hizi guest za uswahilini.

HAa!? sasa wewe li antena limesimama unakataa tv!
 
kuna gesti manzese..we ukishalipa na umeingia na mzigo
watu wengine wanakuja kulipa kushuhudia mambo..
wana matundu maalum....kazi kwenu lol

Umenikumbusha kitu...zamani wakati niko sekondari, fomu wani hadi fomu srii, mimi na washikaji tulikuwa na hiyo tabia ya kula chabo.

Yaani kama mshikaji akipata demu anatutonya sisi washikaji wengine halafu wakiingia geto sis tunaenda dirishani kula chabo. Hapo ujue tayari tulishaingia chumbani na kuliseti pazia kidizaini flani ili tuweze kula uhondo (I guess hivyo ndivyo tulivyokuwa tunawaza katika akili zetu kipindi hicho! Utoto bana...una mambo mengi sana)
 
kuna gesti manzese..we ukishalipa na umeingia na mzigo
watu wengine wanakuja kulipa kushuhudia mambo..
wana matundu maalum....kazi kwenu lol

Boss maelezo yako hapo juu unajua yanaleta maswali mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! kwa leo wacha nikumezeee tu until next time, ngoje niendelee kula kwanza bongo fleva za kale Redio One muda huu ila lazima ntakuuliza tu!
 
Sintasahau siku ile gari ilichelewa kufika dar nikafika usiku nikatafuta Gesti pale manzese! Kwani nililala? Chumba kinakuka uchiiiiii! nikigeuka uchii, kulia uchi, kushoto uchi! Godoro lenyewe ukigeukia huku lina baridi baridi kama mtu kamwagia maji sehemu sehemu, Halafu hamna feni, mbu! kidogo hujakaa sawa mlango ushagongwa na machangu wanaoomba hifadhi. Sintasahau, sikulala siku ile!
 
Nadhani hii ni kwa East Africa nzima, kwani tuliwahi kulala nairobi wakati tumehudhuria workshop, guest moja inaitwa Gee Six, maeneo karibu na zinapopaki SABCO Ltd., duuu tulikoma. Yote hayo ni mambo ya ku save eti turudi na vidola nyumbani. Yaani usiku mzima wanabadilishana tu mara hawa wameingia mara wametoka, mara hawataki kulipana zogo linaanza, wengine ndo sijui mzuka umepanda basi anapiga kelele ya nanihiiii daaa.

nilijifunzo sa nyingine kupenda vitu rahisi rahisi yaweza kuwa ghali zaidi ya mtu anavyotegemea kubana matumizi.
 
Huo ndo ukweli lakini maisha ya mtanzania wa kawaida si unaijua?
 
Sintasahau siku ile gari ilichelewa kufika dar nikafika usiku nikatafuta Gesti pale manzese! Kwani nililala? Chumba kinakuka uchiiiiii! nikigeuka uchii, kulia uchi, kushoto uchi! Godoro lenyewe ukigeukia huku lina baridi baridi kama mtu kamwagia maji sehemu sehemu, Halafu hamna feni, mbu! kidogo hujakaa sawa mlango ushagongwa na machangu wanaoomba hifadhi. Sintasahau, sikulala siku ile!
Haki nimechefuka kuliko unavo fikiria... napata picha ya hio humidity ya godoro mwili unatoka goos flesh...
 
Dah nakumbuka miaka kadhaa nyuma nilikwenda moshi kikazi nikalala guest moja jina silikumbuki now dah kweli kuna watu wezi. Kuna dada alikw analia ucku kucha. Bady nilikuja ambiwa na wenyeji ile ni guest maarufu ya machangu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom