Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,874
- 7,650
Nimebahatika kuona kwa macho yangu.
Wahamiaji haramu wa kisomali huingia Mbeya kila siku usiku na mabasi yanayotokea Arusha. Na wasomali hao hutokea Kenya na baadhi yao hubaki nchini na wengine huendelea na safari lakini wanajificha kwenye guest hiyo.
Juzi juzi waliingia kwa basi la Arusha Express saa 6 usiku, walikuwa 20+, nikabahatika 'kupumzika' na msomali mmoja wa kike ambaye hajui kiswahili kabisa zaidi ya kiingereza na kisomali.
Alinieleza kuwa mmiliki wa Guest hiyo hutumika kuwatafutia makao nje ya Mbeya na ndani ya Mbeya.
Mhudumu wa guest hiyo amekiri kupokea wahamiaji hao kila siku usiku.
Mamlaka za Dola zilifuatilie hili