Guest User huwa wanajiuliza sana huko waliko huyu ZERO IQ ni nani?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,673
Guest user wale wanaoingia jamii forum kwa kuibia bila kuwa na ID huwa wanajiuliza sana huko waliko hivi huyu Zero IQ ni nani?

Mbona anazimenya sana mbunye hana kazi za kufanya nini kila uzi unaohusu mgegedo lazima utaona Tag yake,

Aisee nawaambieni ZERO IQ ni kijana mmoja hivi anaemiliki Kiwanda chake cha kuchakata Viazi kuwa chipsi,

Taja sifa moja tu ya ZERO IQ unayoifahamu.



Cc zero IQ
 
Back
Top Bottom