Guest User huwa wanajiuliza sana huko waliko huyu ZERO IQ ni nani?

Na mama ntilie nao mkuu watapika nini ili nao wapate Riziki
Kila mtu na Riziki yake, after all utakuwa umetanua kiwanda, kama vipi pika biriani kama yule wa tabata kinyerezi ili kuleta utofauti na mama ntilie.
 
Haya ila utatoa hata kidogo tu
Nyingine utamalizia badae ukipata
Niko na ya posa tu mahali nikopeshwe nitaleta baada ya kuanza kuitumia na kusibitisha ubora wa bidhaa yangu
 
Kila mtu na Riziki yake, after all utakuwa umetanua kiwanda, kama vipi pika biriani kama yule wa tabata kinyerezi ili kuleta utofauti na mama ntilie.
Wazo zuri mkuu ngoja niajiri demu mmoja mwenye msambwanda wake
 
Back
Top Bottom