Guest/hotel salama kwa wezi wa wake/waume za watu Dsm

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
6,983
6,237
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;

1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
9. Upland Center - Changanyikeni
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.
 
Kiboko ni Imasco Temeke mpaka gari inaingia ndani garage ukipaki unaibukia direct chumbani, mkitaka hamuonekani wote hata kwa mhudumu, pesa unapenyesha chini ya mlango, ukitaka kinywaji ndiyo mmoja wenu ataonekana kwa mhudumu mmoja tu.

Body without head
 
Duh Imasco ipo kamanda? nilikaa miaka ya 1996 -97 hapo U/wa taifa wakati Imasco disco Club ipo juu mbaya, dah sasa imekuwa guest khaaaaaa ntatembelea tena kuona
 
Duh Imasco ipo kamanda? nilikaa miaka ya 1996 -97 hapo U/wa taifa wakati Imasco disco Club ipo juu mbaya, dah sasa imekuwa guest khaaaaaa ntatembelea tena kuona

Imasco ipo mkuu wameiboresha sana, na jamaa mbunifu sana naona anawateja wengi sana hasa jumamosi pia kuna ukumbi wa sherehe na harusi.

Body without head
 
Ina sifa gani hiyo? Na direction yake ikoje? Naomba wasifu wake.

Body without head

Direction unaenda na jkt road kutoka barabara ya kilwa mpaka shule ya msingi mgulani unakunja kona kushoto kuna mtaa huoo unaenda nao moja kwa moja mpaka mahala husikaa..kingine kuna milango miwili unaweza kuingilia mbele ukatoke nyuma kwenye uwanja wa ccm hata watu wasikukariri
 
Je wewe una mpenzi wako ambaye ni mke au mume wa mtu hapa Dar es Salaam na unatafuta Guest/Hotel itakayokuwa salama kwa ajili ya kupumzika na mwenzio? Hapa nitataja kuanzia Hotel za bei ya juu kidogo mpaka Guest za Bei nafuu kwa hiyo angalia wapi wewe unaweza kumudu;

1. Q Bar& Guest House, Oysterbay
2. Atlantis Hotel,Oysterbay
3. Conway Hotel, Magomeni Kagera
4. Universal Inn, Sinza Mori
5. Wanyama Hotel, Sinza Mori
6. Atriums Hotel, Sinza Africa Sana
7. City Style, Sinza Mugabe
8.Kibadamo Hotel,Ubungo Stendi ya Mkoa
Uzuri wa hotel/guest house hiz ni kuwa hazina watu wengi so mtu unakuwa free kuingia na incase inatokea fumanizi wahudumu wakewapo friendly na hutoa ushirikiano wa kutosha kwa kutoroshea emrgeny door.

Weka na bei kabisa, hizo za Atriums nazijua!
 
Hahahaha kuna moja ipo kule kinyerezi barabara mpya mkono wa kulia nikijaga dar huwa naendaga, sema kwenye vyumba vyao hamna network...
 
Kwahiyo wote wanaochangia humu ni wezi wa wake/waume za watu? Wenye wake/waume zao wanaowatilia shaka si wataanza kuzifuatilia hizo sehemu sasa.
 
Kiboko ni Imasco Temeke mpaka gari inaingia ndani garage ukipaki unaibukia direct chumbani, mkitaka hamuonekani wote hata kwa mhudumu, pesa unapenyesha chini ya mlango, ukitaka kinywaji ndiyo mmoja wenu ataonekana kwa mhudumu mmoja tu.

Body without head

Du aisee..nimeipenda hiyo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom